St George v/s Al Hilal naona Al hilal wanayo quality ya wachezaji lakini hawana timu, washakula 2 bila mpaka sasa

Kivyovyote na kwa yeyote kati ya hizi timu 2 atakayepita akuna timu ya kumpa yanga ugumu kwa namna timu zenyewe zilivyo, kilichopo ni yanga kuendeleza walipoishia na kufanya marekebisho madogo madogo ya kiufundi
 
Tanzania ya sasa inazalisha watu wengi sana wenye matumizi kidogo sana ya akili badala yake wanatumia hisia tu kufanya mambo yao.
 
Hivi robo fainali unaijua au unaisikia. Kwa vile simba amefanya hivyo na yanga unaona wanaweza?
Wewe nawe! Kwani hiyo simba ina kipi cha ajabu! Watu wanatoa maoni na mitazamo yao! Wewe unaleta mambo ya kujimwambafai!
 
Tanzania ya sasa inazalisha watu wengi sana wenye matumizi kidogo sana ya akili badala yake wanatumia hisia tu kufanya mambo yao.
Anayetumia akili na asiyetumia akili ataonekana siku sio nyingi nafikiri ni jambo la kusubili na kuona
 
Mpaka Sasa sijaona timu ya kuifunga yanga ni roho mbaya za mashabiki wa simba
 
Sababu ni kwamba Yanga Ina desturi ya kutofika popote mechi za kimataifa mbali na Simba .
Kama unabisha lete takwimu zilizoshiba halafu zamu hii mkifika mbali ndo tuanzie hapo
 
Sababu ni kwamba Yanga Ina desturi ya kutofika popote mechi za kimataifa mbali na Simba .
Kama unabisha lete takwimu zilizoshiba halafu zamu hii mkifika mbali ndo tuanzie hapo
Simba Haina umbali wowote kimataifa, umbali unao tambulika kimataifa ni kikombe sio porojo na kujitutumua. Hatua za robo fainali za CAF Yanga amesha cheza mara 5 Sasa Simba Hana umbali wowote.
 
Simba ameshacheza mpaka fainal ya CAF we nguchiro
Simba Haina umbali wowote kimataifa, umbali unao tambulika kimataifa ni kikombe sio porojo na kujitutumua. Hatua za robo fainali za CAF Yanga amesha cheza mara 5 Sasa Simba Hana umbali wowote.
 
Sababu ni kwamba Yanga Ina desturi ya kutofika popote mechi za kimataifa mbali na Simba .
Kama unabisha lete takwimu zilizoshiba halafu zamu hii mkifika mbali ndo tuanzie hapo
Kama robo fainali ni mbali sijui fainali itakua vipi
Kiuhalisia hakuna timu yoyote yenye mafanikio kimataifa ni porojo tu.
 
Acheni ndoto zenu wabongo mpira wa miguu hauko hivo acheni kukariri this is football
 
Asee, Hiyo yanga unadhani itatoboa ugenini? Kama ilitolewa mafua first half na Zalan?
Muda ndo shahidi mzuri!
 
Usichokujua simba ashatengeneza profile Afrika, so timu nyingi zinapokutana nao huwa na mchecheto, Kwa hiyo usitegemee yanga kufanya hayo, kama huamini subiri atachokutana nacho mbele hapo!
 
Hapo zungumzia kufika makundi siyo robo fainali. Makundi unakutana na timu kubwa unashangaa wewe ndio unakuwa daraja.
Ila Yanga kapewa timu vibonde mwaka huu hivyo njia ya kwenda makundi ni rahisi ila kufika robo fainali ni muziki mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…