St George v/s Al Hilal naona Al hilal wanayo quality ya wachezaji lakini hawana timu, washakula 2 bila mpaka sasa

Hapo zungumzia kufika makundi siyo robo fainali. Makundi unakutana na timu kubwa unashangaa wewe ndio unakuwa daraja.
Ila Yanga kapewa timu vibonde mwaka huu hivyo njia ya kwenda makundi ni rahisi ila kufika robo fainali ni muziki mwingine.
Ili ufikie makundi lazima uwaze zaidi ya hapo ili upambane zaidi. Jinsi unavyowaza kufika juu zaidi ndipo kujituma kunaongezeka zaidi. Mwanafunzi anayewaza afanyeje ili afaulu kwa wastani wa A ni tofauti na mwanafunzi anawaza apate tu B
 
Approach ya ugenini ni tofauti na ya nyumbani kwaiyo usijidanganye
 
Uchambuzi tayari.
Tutafika tumechoka.
 
Quality inachangia sawa but hata mentality na experience unaeza kua na quality ukabutuliwa. Vbaya sanaa amin
 
Usichokujua simba ashatengeneza profile Afrika, so timu nyingi zinapokutana nao huwa na mchecheto, Kwa hiyo usitegemee yanga kufanya hayo, kama huamini subiri atachokutana nacho mbele hapo!
Naungana na wewe hili la mchecheto, ingawa mimi si Kolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…