St. James Church Arusha 1959

St. James Church Arusha 1959

Mungu wangu kumbe ndo palikuwa hivi...?
Hebu tupieni na picha ya sasa tuone..
 
Yaani ww ulikuwa kiddo na unajua pub? Kha! Hufai kabisaa.

Kwao wapi huyo baunsa? Nije tukale pilau la maana, lol
mie kanikera mpaka basi, alikuwa best yangu inabidi nikale tu pilau la ijumaa msibani, hivi unakumbuka kile kipub kilikuwa juu ya hilo kanisa? sijui kalikuwa kanaitwaje vile, kilivuma saaanaaa.
 
naona nguzo za umeme, ni hiki hiki kijitanesco ama kulikuwa na shiriki lingine???
 
hivi hiyo nursery bado ipo?...wa kunyumba unamjua dida? alikuwa baunsa wa crystal, khaa naambiwa kajinyonga mie kushoka kabisa, yaani jamaa amenikera japo kashakuwa marehemu,

Wee! Didaa aka didasheee! Kafariki lini? He was my classmate Meru Primary aisee cjackia hebu toa info kidogo aisee
 
Kumbe we are skul mates? Mie nilisoma hapo in 1960 kabla sijahamia bhengaz. Source: natalia

Waliosoma mwaka 1960 hana upeo wa kutumia komputa acha kudanganya King'asti mtafute Preta umweleze haja yako pasipo chengachenga
 
Last edited by a moderator:
Yaani ww ulikuwa kiddo na unajua pub? Kha! Hufai kabisaa.

Kwao wapi huyo baunsa? Nije tukale pilau la maana, lol

hahaha we acha tu, kale ka pub nina ka historia nako, hahahah...msiba ulikuwa mtaa wa bondeni, nshakula pilau na kuondoka, si unajua tena wale wenzetu hawachelewi, kashapelekwa kwenye nyumba aliyoikimbilia....
 
Wee! Didaa aka didasheee! Kafariki lini? He was my classmate Meru Primary aisee cjackia hebu toa info kidogo aisee

leo leo, na wameshampeleka kwenye nyumba yake ya milele, nafunga mdomo kilichomfanya afanye alichofanya,:shut-mouth:, sema kanikera sana, misiba inanigusaga but huu wa best nilikuwa mkavuuuu, khaa amenikumbusha alykesh sana.
 
Ile kwaya wanaimba beatrice muhone na mumewe ipo? Nimetafuta cd yao ina wimbo wa usinipite mwokozi hadi nimechina.

dunia hii ina tabu nyingi ee bwana usiniache, ee mungu wangu sikia kilio changu uyasikie maombi yangu....hahahah ngoja na mie leo nikaisagure mle ndani, naipenda ile kwaya haswa, huyo nae alivyotoa vi single vyake sijui aliishiaga wapi, kwaya ilimnyanyua sana hana lolote bila ile kwaya na madharau/maringo yake, mumewe mchangamfu kama nini.
 
Duh Nyamayao hicho kipub kilikiwa kinaitwa Massawe nakumbuka mkitoka disco mnamalizia starehe kwenye hiyo pub.Massawe ni marehemu kale kaugonjwa ka kisasa kalimchukua yapata miaka zaidi ya kumi iliyopita.

mie kanikera mpaka basi, alikuwa best yangu inabidi nikale tu pilau la ijumaa msibani, hivi unakumbuka kile kipub kilikuwa juu ya hilo kanisa? sijui kalikuwa kanaitwaje vile, kilivuma saaanaaa.
 
Last edited by a moderator:
leo leo, na wameshampeleka kwenye nyumba yake ya milele, nafunga mdomo kilichomfanya afanye alichofanya,:shut-mouth:, sema kanikera sana, misiba inanigusaga but huu wa best nilikuwa mkavuuuu, khaa amenikumbusha alykesh sana.

Dah! RIP Didaa! It's so sad masela kitaa wanazidi pungua!
 
Duh Nyamayao hicho kipub kilikiwa kinaitwa Massawe nakumbuka mkitoka disco mnamalizia starehe kwenye hiyo pub.Massawe ni marehemu kale kaugonjwa ka kisasa kalimchukua yapata miaka zaidi ya kumi iliyopita.

ningeshangaa kukukosa kwenye hii thread, Ngongo mbona jina kama sio vile, wewe unamzungumzia mmiliki nadhani, sasa kulikuwa kuna kajina kanaitwa jamani,
 
Inawezekana ukawa huko sahihi Nyamayao unajua miaka mingi imeshapita.Kipub chenyewe hakikuwa na kitu cha maana zaidi ya sifa za kutoa huduma hadi jogoo linapowika.Siku moja nilikuwa nakata maji kushtuka waumini wa St Theresa wanakimbilia kanisani kuwahi misa ya asubuhi sisi ndiyo kwanza tunaagiza bia ha ha.

ningeshangaa kukukosa kwenye hii thread, Ngongo mbona jina kama sio vile, wewe unamzungumzia mmiliki nadhani, sasa kulikuwa kuna kajina kanaitwa jamani,
 
Last edited by a moderator:
mie kanikera mpaka basi, alikuwa best yangu inabidi nikale tu pilau la ijumaa msibani, hivi unakumbuka kile kipub kilikuwa juu ya hilo kanisa? sijui kalikuwa kanaitwaje vile, kilivuma saaanaaa.

dah......kweli una kumbukumbu......kale ka Pub nadhani ndio pub za mwanzo kuingia Atown.....acha kabisa.......sijui kalifiaga wapi......
 
Wee! Didaa aka didasheee! Kafariki lini? He was my classmate Meru Primary aisee cjackia hebu toa info kidogo aisee

mkuu kama nakufananisha.........hatujawahi kupigana pale mashujaa kweli.......au vile vita na Naura primary kule mtoni umewahi kushiriki....?...kwanza head teacher wako alikuwa nani...? marehemu Anna Swai au Mrs Mwenera......?
 
Back
Top Bottom