Augustine joseph
Member
- Apr 7, 2013
- 10
- 1
BA.Ed ni Tsh1600,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
udsm duce muce 4 b.aed ni 1,000,000/=BA.Ed ni Tsh1600,000/=
BA.Ed ni Tsh1600,000/=
duh! Wengine tutaweza kweli?
kama ungejua uwez iyo ada basi ungefaulu kama oil sumu yupo chuo cha gvnt
Karibuni sana kwa wale wa main campus
hata mimi pia hapo.hapo
kama ungejua uwez iyo ada basi ungefaulu kama oil sumu yupo chuo cha gvnt
huyu oil sumu ni mkuda kaz kupondea vyuo vya watu m2 mwenyewe choko2.mwambie baba yako akujengee chuo chako.humu ni special kwa wana wa st john nashangaa cjui umefata nini au ndo kiherehere na umbea.utaolewa bure
Poa kaka asante sana bwana,but naomba nijuze kuhusu ulipaji wa ada kwasisi wa heslb.kabla mkopo haujatoka tunatakiwa kulipa asilimia ngapi ya ada yote,na kama umeshajua unapata mkopo kiasi gani unafanyaje,naomba nijuze bro!
BA.Ed ni Tsh1600,000/=
hawa jamaa kozi zao ni tofauti sana na vyuo vingine maana zinaubora wa kipekee kwa mimi binafsi nasoma bcom education na ada ni 1600000 utofautiwake na bcom ed ya udom,udsm nk ni kwamba mimi wa st john naweza nikawa mhasibu pia kwa maana kozi anazosoma mtu wa anayechukua bba account nazisoma zote sema mimi wa bcomed naongezea kozi za education#
nijuavyo mm ada ya vyuo vya gvmnt na private vinatofautiana kwa sababu moja2..vyuo vya serikali vina ruzuku katika bajeti kila mwaka vinakua na fungu lao tofauti na vya private ambavyo vinajitegemea kwa kila kitu na hio ndio inafanya ada inakua kubwa....hawa jamaa kozi zao ni tofauti sana na vyuo vingine maana zinaubora wa kipekee kwa mimi binafsi nasoma bcom education na ada ni 1600000 utofautiwake na bcom ed ya udom,udsm nk ni kwamba mimi wa st john naweza nikawa mhasibu pia kwa maana kozi anazosoma mtu wa anayechukua bba account nazisoma zote sema mimi wa bcomed naongezea kozi za education#
yani hata ungesoma na engineering humo ndani hata ungesoma na medicine kama education ishawekwa hapo ni doa kubwa tayar we unafahamika kama mfia chaki tu hayo mengine mbwembwe tu ni sawa na bi haruc avae gauni jeupeee af aliloweke kwenye uharo cha kukushauri tu ndugu andaa vizibio vya mdomoni kuzuia vumbi la chaki lisiingie mdomoni na pia uandae viatu vyenye soli ngumu sana ikiwezekan ua hata nyati huko porini upate ngoz utengeneze viatu