Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 464
- 393
nijuavyo mm ada ya vyuo vya gvmnt na private vinatofautiana kwa sababu moja2..vyuo vya serikali vina ruzuku katika bajeti kila mwaka vinakua na fungu lao tofauti na vya private ambavyo vinajitegemea kwa kila kitu na hio ndio inafanya ada inakua kubwa....
nakubaliana na wewe mkuu ila mbona bcom account ya ud adayake ni kubwa kuliko bcom account ya udom?