St johns university hapa!!!

St johns university hapa!!!

nijuavyo mm ada ya vyuo vya gvmnt na private vinatofautiana kwa sababu moja2..vyuo vya serikali vina ruzuku katika bajeti kila mwaka vinakua na fungu lao tofauti na vya private ambavyo vinajitegemea kwa kila kitu na hio ndio inafanya ada inakua kubwa....

nakubaliana na wewe mkuu ila mbona bcom account ya ud adayake ni kubwa kuliko bcom account ya udom?
 
hahaa mnafurahisha mafeliast yan acha kujitia moyo ukishasoma smething with education we jua utafia chakini tu piga ua cheki wahasibu kutoka vyuo vya maana kama mzumbe wako mtaani waje wakuchukue we mwalimu una nini tena umeenda huko baada ya kufeli pole weee

nduguyangu ila mimi ninapiga miguuyote mkuu! Nafundisha na kazi yoyote ya uhasibu nafanya ndo maana tunafield mbili ya kwanza lazima ukafundishe na ya pili unachagua mwenyewe kama utaenda kufundisha au kufanyakazi kwenye financial institution yoyote nk

ila wenzako huku mtaani wanautamani hata huo ualimu wanaukosa na walikua wanamaneno ya kwenye pichu kama yako pindi walipokuepo vyuoni
sasa hivi wanajifanya wanafungua vi tution centre

na mwisho kabisa mimi sio failure nina div 2 ya point 10 ya ECA usikariri sio kila anayesoma kozi yenye education basi alifeli [na kwa taarifayako katika ada 1600000 miminachangia 120000 tu na nikimaliza chuo uhakika wa kazi ninao so wewe ndo uandae na uchongeshe soli za mbao maana utazunguka sana na libahasha lako]

pumbavuuuuu!
 
kwa hii mipashoyako mzee yusuph akikuona lazima akuchukue keep it up!

hapa ni ukweli tu inatia kichefuchefu mijitu inafeli fom six af inaanza kujitia moyo we kubali tokeo nenda piga ualimu hapo ukashike chaki mnashangaza kwa kwel kama saint john nacho chuo?
 
ndio ni chuo kikuu na sio kama chuo chenu cha madrasa!
 
hahaa mnafurahisha mafeliast yan acha kujitia moyo ukishasoma smething with education we jua utafia chakini tu piga ua cheki wahasibu kutoka vyuo vya maana kama mzumbe wako mtaani waje wakuchukue we mwalimu una nini tena umeenda huko baada ya kufeli pole weee

nduguyangu ila mimi ninapiga miguuyote mkuu! Nafundisha na kazi yoyote ya uhasibu nafanya ndo maana tunafield mbili ya kwanza lazima ukafundishe na ya pili unachagua mwenyewe kama utaenda kufundisha au kufanyakazi kwenye financial institution yoyote nk

ila wenzako haku mtahani wanautamani hata huo ualimu wanaukosa na walikua wanamaneno ya kwenye pichu kama yako pindi walipokuepo vyuoni

na mwisho kabisa mimi sio failure nina div 2 ya point 10 usikariri sio kila anayesoma kozi yenye education basi amafeli

hahaaaa heeeeeee hiiiii ticha ucnichekeshe hivi form six utapataje two? division.two ni deal kwa form four c kwa watu wazima masomo matatu tu unapataje two af itahuzunisha zaid kama aliepata hyo two ni mwanaume hata ungefanya field mia lakin ukweli ni uleule wew ni mwalimu hizo fild wanaziweka ili kuvutia watoto waliofeli kama wew waende pale mbwembwe zoooot lkn mwisho wa cku na wewe utakua miongoni mwa waliovaa suruali zenye viraka umenielewa mhanga mtarajiwa?usije juu kumbuka si mim nilikutuma ukacheze rede shuleni
 
ndio ni chuo kikuu na sio kama chuo chenu cha madrasa!

mim c mvaa mabomu bwana kupondea saint john cmaanishi mi ni mwislamu nataka tu kuwafumbua macho kuwa viko vyuo vya maana zaid mojawapo udsm na mzumbe
 
hahaaaa heeeeeee hiiiii ticha ucnichekeshe hivi form six utapataje two? division.two ni deal kwa form four c kwa watu wazima masomo matatu tu unapataje two af itahuzunisha zaid kama aliepata hyo two ni mwanaume hata ungefanya field mia lakin ukweli ni uleule wew ni mwalimu hizo fild wanaziweka ili kuvutia watoto waliofeli kama wew waende pale mbwembwe zoooot lkn mwisho wa cku na wewe utakua miongoni mwa waliovaa suruali zenye viraka umenielewa mhanga mtarajiwa?usije juu kumbuka si mim nilikutuma ukacheze rede shuleni

duuhhh! Nduguyangu mimi sio kama naukataa ualimu naona umelibebea bango sana issue ya ualimu!

Kwa ECA ukipata 2 wewe kidume sijui wewe wa HKL
mimi ninawashkajizangu kibao wana 2 hadi za 12 wanapiga BAF MZUMBE NA WENGINE WANAPIGA BA ECONOMICS UD NA ARDHI

Ila kwa bahati nzuri nimesoma psychogy kidogo na watu dizainiyako nimekutananao wengi sana na wengine ni wanafunziwangu na nilipofuatilia background yao nilipata majibu yafuatayo:walishawahi kuugua kifafa,degedege au utakua bado uko kwenye dozi za ukichaa#

so itanibidi nitumie zile technique zangu za kuwafundisha vichaa kama wewe so hebu leta pumba nyingine
 
mim c mvaa mabomu bwana kupondea saint john cmaanishi mi ni mwislamu nataka tu kuwafumbua macho kuwa viko vyuo vya maana zaid mojawapo udsm na mzumbe

mimi sijakuuliza suala la kuvaa mabomu naomba unielewe we binti!
Maana unakiherehere kweli cha kujibu vitu ambavyo haujaulizwa au ndo unavyofundishwa na ustadhi wako ?

Hao UD Na MZUMBE wako unaowapigia chapua nimefanyanao field hata kuandika lesson plan hawajui!
 
oil sumu wewe ni ---- unapondea vyuo vya watu.af vimtu kama wewe mara nyingi ukiangalia familia zenu ni masikini wa kutupa alafu unaleta nyodo humu jf na cmu yako ya kichina unayoiforce kuingia neti.baba yako anaangaika kukutafutia ada huu mda unaopoteza humu jf ungekuwa unamsaidia baba yako kazi ingependeza.vimtu kama nyie huya ndo vya kwanza kudisco.badala umshukuru mungu umepata chuo unaleta dhihaka kwa watu wengine hujui kama unaweza ukanyang'anywa hata hiyo nafasi,kama we ni kidume bisha.---- ww
 
mim c mvaa mabomu bwana kupondea saint john cmaanishi mi ni mwislamu nataka tu kuwafumbua macho kuwa viko vyuo vya maana zaid mojawapo udsm na mzumbe

mimi sijakuuliza suala la kuvaa mabomu naomba unielewe we binti!
Maana unakiherehere kweli cha kujibu vitu ambavyo haujaulizwa au ndo unavyofundishwa na ustadhi wako?

Hao UD Na MZUMBE wako unaowapigia chapua nimefanyanao field hata kuandika lesson plan hawajui!
 
duuhhh! Nduguyangu mimi sio kama naukataa ualimu naona umelibebea bango sana issue ya ualimu!

Kwa ECA ukipata 2 wewe kidume sijui wewe wa HKL
mimi ninawashkajizangu kibao wana 2 hadi za 12 wanapiga BAF MZUMBE NA WENGINE WANAPIGA BA ECONOMICS UD NA ARDHI

Ila kwa bahati nzuri nimesoma psychogy kidogo na watu dizainiyako nimekutananao wengi sana na wengine ni wanafunziwangu na nilipofuatilia background yao nilipata majibu yafuatayo:walishawahi kuugua kifafa,degedege au utakua bado uko kwenye dozi za ukichaa#

so itanibidi nitumie zile technique zangu za kuwafundisha vichaa kama wewe so hebu leta pumba nyingine

haaahaaa ni challenging tu kaka tutakutana huko bana mwenyew nakuja soma hyohyo am sure we will be friends coz u knw me sana jana nilikua nateta na washkaji tukawa tunachalenjiana tu kimtindo..keep peace and am sorry kma nimekukera cc wote watz na wana saint john
 
usihofu mkuu! Ila tambua chuo ni chuo tu ilimradi TCU wanakitambua na wamekiidhinisha na waajiri hawamuajirimtu kwa jina la chuo flani bali ana nini kichwani na ndo maana kuna interview

so karibu st john's mimi niko main campus na asikwambie mtu hapa ni msuli tu kuanzia mwanzo wa semester hadi mwisho wa semester utakuja kujionea mwenyewe

kama utataka mawasiliano tutabadilishana pia#
 
we kweli msomi? naona unahaha tu kuhusu vyuo, naona bado huyajui maisha na kwa uhakika angali list ya vyuo bora st john ya ngap. kama huna uhakika tulia sawa jombaa:smile-big:
 
mim c mvaa mabomu bwana kupondea saint john cmaanishi mi ni mwislamu nataka tu kuwafumbua macho kuwa viko vyuo vya maana zaid mojawapo udsm na mzumbe

dogo hatujataja dini hapa..ukiikashifu dini yangu na yako naweza kuikashifu pia..please jaribu kuwa mstaarabu..kama unaupenda ukristo wako na mm naupenda uislamu wangu na sitokubaki kuona unaikashifu na mm nakuona..
 
Back
Top Bottom