St johns university hapa!!!

St johns university hapa!!!

Karibuni sana kwa wale wa main campus

Poa kaka asante sana bwana,but naomba nijuze kuhusu ulipaji wa ada kwasisi wa heslb.kabla mkopo haujatoka tunatakiwa kulipa asilimia ngapi ya ada yote,na kama umeshajua unapata mkopo kiasi gani unafanyaje,naomba nijuze bro!
 
huyu oil sumu ni mkuda kaz kupondea vyuo vya watu m2 mwenyewe choko2.mwambie baba yako akujengee chuo chako.humu ni special kwa wana wa st john nashangaa cjui umefata nini au ndo kiherehere na umbea.utaolewa bure
 
na kweli coz juu imeandikwa kabisaaa kuwa st johns hapa!!!sikuandika nataka watu wa teku hapa hiiiiiiii!!!!
 
Poa kaka asante sana bwana,but naomba nijuze kuhusu ulipaji wa ada kwasisi wa heslb.kabla mkopo haujatoka tunatakiwa kulipa asilimia ngapi ya ada yote,na kama umeshajua unapata mkopo kiasi gani unafanyaje,naomba nijuze bro!

wewe kama unafadhiliwa na loanboard usihofu maana huwa wanakata juu kwa juu na kama ukipenda zaidi huwa unawezaukasaini wanakua wanadeduct kiasi flani kwenye boom lako hadi adayao ikamilike#
 
BA.Ed ni Tsh1600,000/=

hawa jamaa kozi zao ni tofauti sana na vyuo vingine maana zinaubora wa kipekee kwa mimi binafsi nasoma bcom education na ada ni 1600000 utofautiwake na bcom ed ya udom,udsm nk ni kwamba mimi wa st john naweza nikawa mhasibu pia kwa maana kozi anazosoma mtu wa anayechukua bba account nazisoma zote sema mimi wa bcomed naongezea kozi za education#
 
hahaa mnafurahisha mafeliast yan acha kujitia moyo ukishasoma smething with education we jua utafia chakini tu piga ua cheki wahasibu kutoka vyuo vya maana kama mzumbe wako mtaani waje wakuchukue we mwalimu una nini tena umeenda huko baada ya kufeli pole weee
 
hawa jamaa kozi zao ni tofauti sana na vyuo vingine maana zinaubora wa kipekee kwa mimi binafsi nasoma bcom education na ada ni 1600000 utofautiwake na bcom ed ya udom,udsm nk ni kwamba mimi wa st john naweza nikawa mhasibu pia kwa maana kozi anazosoma mtu wa anayechukua bba account nazisoma zote sema mimi wa bcomed naongezea kozi za education#

yani hata ungesoma na engineering humo ndani hata ungesoma na medicine kama education ishawekwa hapo ni doa kubwa tayar we unafahamika kama mfia chaki tu hayo mengine mbwembwe tu ni sawa na bi haruc avae gauni jeupeee af aliloweke kwenye uharo cha kukushauri tu ndugu andaa vizibio vya mdomoni kuzuia vumbi la chaki lisiingie mdomoni na pia uandae viatu vyenye soli ngumu sana ikiwezekan ua hata nyati huko porini upate ngoz utengeneze viatu
 
nijuavyo mm ada ya vyuo vya gvmnt na private vinatofautiana kwa sababu moja2..vyuo vya serikali vina ruzuku katika bajeti kila mwaka vinakua na fungu lao tofauti na vya private ambavyo vinajitegemea kwa kila kitu na hio ndio inafanya ada inakua kubwa....
 
ila dogo oilsumu punguza dharau sipendi tabia zako..wewe mwenyewe unasoma iringa makeke kibao je ungepelekwa main campus??..wewe si umepata div 3 tu..mimi nina pass za kusoma udsm but nimechagua ardhi kwa sababu kuna course ambayo naitaka na udsm haipo so na hawa wa st john wamechagua huku kisa wanapenda ila wana pass kama za kwako tu...heshima ni kitu cha bure
 
yani hata ungesoma na engineering humo ndani hata ungesoma na medicine kama education ishawekwa hapo ni doa kubwa tayar we unafahamika kama mfia chaki tu hayo mengine mbwembwe tu ni sawa na bi haruc avae gauni jeupeee af aliloweke kwenye uharo cha kukushauri tu ndugu andaa vizibio vya mdomoni kuzuia vumbi la chaki lisiingie mdomoni na pia uandae viatu vyenye soli ngumu sana ikiwezekan ua hata nyati huko porini upate ngoz utengeneze viatu

kwa hii mipashoyako mzee yusuph akikuona lazima akuchukue keep it up!
 
Back
Top Bottom