Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 464
- 393
nijuavyo mm ada ya vyuo vya gvmnt na private vinatofautiana kwa sababu moja2..vyuo vya serikali vina ruzuku katika bajeti kila mwaka vinakua na fungu lao tofauti na vya private ambavyo vinajitegemea kwa kila kitu na hio ndio inafanya ada inakua kubwa....
hahaa mnafurahisha mafeliast yan acha kujitia moyo ukishasoma smething with education we jua utafia chakini tu piga ua cheki wahasibu kutoka vyuo vya maana kama mzumbe wako mtaani waje wakuchukue we mwalimu una nini tena umeenda huko baada ya kufeli pole weee
kwa hii mipashoyako mzee yusuph akikuona lazima akuchukue keep it up!
hapa ni ukweli tu inatia kichefuchefu mijitu inafeli fom six af inaanza kujitia moyo we kubali tokeo nenda piga ualimu hapo ukashike chaki mnashangaza kwa kwel kama saint john nacho chuo?
hahaa mnafurahisha mafeliast yan acha kujitia moyo ukishasoma smething with education we jua utafia chakini tu piga ua cheki wahasibu kutoka vyuo vya maana kama mzumbe wako mtaani waje wakuchukue we mwalimu una nini tena umeenda huko baada ya kufeli pole weee
nduguyangu ila mimi ninapiga miguuyote mkuu! Nafundisha na kazi yoyote ya uhasibu nafanya ndo maana tunafield mbili ya kwanza lazima ukafundishe na ya pili unachagua mwenyewe kama utaenda kufundisha au kufanyakazi kwenye financial institution yoyote nk
ila wenzako haku mtahani wanautamani hata huo ualimu wanaukosa na walikua wanamaneno ya kwenye pichu kama yako pindi walipokuepo vyuoni
na mwisho kabisa mimi sio failure nina div 2 ya point 10 usikariri sio kila anayesoma kozi yenye education basi amafeli
pumbavuuuuu!
ndio ni chuo kikuu na sio kama chuo chenu cha madrasa!
hahaaaa heeeeeee hiiiii ticha ucnichekeshe hivi form six utapataje two? division.two ni deal kwa form four c kwa watu wazima masomo matatu tu unapataje two af itahuzunisha zaid kama aliepata hyo two ni mwanaume hata ungefanya field mia lakin ukweli ni uleule wew ni mwalimu hizo fild wanaziweka ili kuvutia watoto waliofeli kama wew waende pale mbwembwe zoooot lkn mwisho wa cku na wewe utakua miongoni mwa waliovaa suruali zenye viraka umenielewa mhanga mtarajiwa?usije juu kumbuka si mim nilikutuma ukacheze rede shuleni
mim c mvaa mabomu bwana kupondea saint john cmaanishi mi ni mwislamu nataka tu kuwafumbua macho kuwa viko vyuo vya maana zaid mojawapo udsm na mzumbe
mim c mvaa mabomu bwana kupondea saint john cmaanishi mi ni mwislamu nataka tu kuwafumbua macho kuwa viko vyuo vya maana zaid mojawapo udsm na mzumbe
duuhhh! Nduguyangu mimi sio kama naukataa ualimu naona umelibebea bango sana issue ya ualimu!
Kwa ECA ukipata 2 wewe kidume sijui wewe wa HKL
mimi ninawashkajizangu kibao wana 2 hadi za 12 wanapiga BAF MZUMBE NA WENGINE WANAPIGA BA ECONOMICS UD NA ARDHI
Ila kwa bahati nzuri nimesoma psychogy kidogo na watu dizainiyako nimekutananao wengi sana na wengine ni wanafunziwangu na nilipofuatilia background yao nilipata majibu yafuatayo:walishawahi kuugua kifafa,degedege au utakua bado uko kwenye dozi za ukichaa#
so itanibidi nitumie zile technique zangu za kuwafundisha vichaa kama wewe so hebu leta pumba nyingine
haaahaaa ni challenging tu kaka tutakutana huko bana mwenyew nakuja soma hyohyo am sure we will be friends coz u knw me sana jana nilikua nateta na washkaji tukawa tunachalenjiana tu kimtindo..keep peace and am sorry kma nimekukera cc wote watz na wana saint john
mim c mvaa mabomu bwana kupondea saint john cmaanishi mi ni mwislamu nataka tu kuwafumbua macho kuwa viko vyuo vya maana zaid mojawapo udsm na mzumbe
me pia niko pande izokaribuni st johns kwa wale st marks centre dsm tuchekiane