umeandika maelezo mengi sana,,ambayo kifupi una hoja nyepesi.....umeandika maneno mengi ili uonekane kwamba umeongea kitu lakin hamna ulichokiandika..
1.wew unakubaliana na mtu aliyepata F ya physics aende kusoma civil engineering mana ndio hoja ilyopo mezani hapa..tukiendelea kwa mfumo huu tutakuja hata siku moja kudahili mwanafunzi wa MD ana F ya biology..
2.mtihani ndio kipimo kinachotumika kupima uelewa wa mtu kwa kipindi hiki..kama unaona hakifai tupe kipimo chako wew..
ushauri wa kwanza kwako.
kama wewe kweli unaelewa na una uwezo mkubwa wa kufikiri kisa hukusoma st.joseph ama husomi st.joseph naomba uwe unajibu hoja zangu zote kwa kuonyesha wepesi wake na si kuishia kuziita hoja nyepesi huku huna majibu yake.
mimi huwa sikimbii mijadala na sijawahi kukimbia toka nizaliwe na humu wewe pengine ni mgeni hunielewi.
nitakuwa hapa kujibu hoja zote kama nilivyokujibu hoja zote kwa kina.
kama utashindwa kujibu hoja zote basi hakuna haja ya kujadili na wewe maana utakuwa umeonyesha uwezo mdogo sana na utakuwa umekosa hadhi ya kujadili na mimi.
1.wew unakubaliana na mtu aliyepata F ya physics aende kusoma civil engineering mana ndio hoja ilyopo mezani hapa..tukiendelea kwa mfumo huu tutakuja hata siku moja kudahili mwanafunzi wa MD ana F ya biology..
hii sio hoja ya st.joseph wala haihusiani na St.Joseph.
kama haujui taratibu zinasemaje ni bora ukauliza ukaelezwa.
kwa utaratibu uliopo. kuna aina mbili za kuruhusiwa kusoma kozi.
1.DIRECT ENTRY
moja.
-total minimum points ni 2.5 kwa vyuo vyote vya engineering ikiwemo COET YA UDSM ,ARIDH na COET za UDOM NA ST.JOSEPH.
-two principal pass. A LEVEL
-Three credit pass O LEVEL
HUU SI UTARATIBU WA ST.JOSEPH BALI NI UNIVERSAL SYSTEM(UTARATIBU UNAOKUBALIKA DUNIA NZIMA)
labda unisaidie wewe mwenzangu kabla sijatoa jibu langu, JE MWENYE F E E(P C M) NA S ya GS. hapa anakuwa hajakidhi kipengele kipi katika mashariti haya kama ana credit za O level? ukiambia kipengele ambacho hajakidhi ndio nijibu
mbili.
taratibu tatu zinabaki hivyohivyo kama hapo juu ila inaongezeka moja kuwa lazima awe ana ufaulu katika somo fulani kati ya hayo.
hapa mwanafunzi akitimiza mashariti yote iwe moja ama mbili kutegemeana basi anachaguliwa moja kwa moja
2.INDIRECT ENTRY
kwa utaratibu huu wa hapo juu ikitokea mashariti hayakufikiwa yote basi hataruhisiwa kusoma huo uhandisi na ndipo sasa hao st.joseph wanaenda kui-prement utaratibu mwingine ambao nao unakubalika wa kutoa mafunzo katika masomo husika na kutoa mtihani kupima kama atafaulu na kama akifaulu ndio anaruhusiwa kusoma.
KWA HIYO TARATIBU ZOTE ZINAKUWA ZIMEFATWA NA WAMEJIRIDHISHA KUWA ATAWEZA KUSOMA.
na kwa taarifa yako hata PCM anaweza kusoma MEDICINE , sasa kama akisoma unataka kuniambia biology ya advance atakuwa na ngapi kama siyo sawa na F maana hakusoma kabisa?
2.mtihani ndio kipimo kinachotumika kupima uelewa wa mtu kwa kipindi hiki..kama unaona hakifai tupe kipimo chako wew..
natambua lakini kipimo hiki kimewekewa terms and conditions.
kuna direct and indirect entry,
pia kuna matokeo ya O level.
HUWEZI KUNISHAWISHI KUWA MTU ALIYEFAULU SOMO HILO HILO O LEVEL NA AKAFELI FORM SIX ETI HANA KABISA UWEZO NA HILO SOMO NA HIVYO HAWEZI KUSOMA DEGREE YA SOMO HILO.
TERMS AND CONDITIONS APPLY ,WAZUNGU WANASEMA.
ndio maana nchi kama kenya haitumii kabisa matokeo ya Advance maana hawana advance.
O LEVEL DIRECT TO UNIVERSITY.
ina maana hapa wakenya Adance ni sawa na kusema wote huwa wana F F F. na kama umesoma kenya ama vitabu vyao.
O LEVEL SYLLABUS YAO NI SAWA NA YA KWETU O LEVEL NA KAMA KUNA TOFAUTI BASI NI NDOGO SANA AND ALMOST NEGLIGIBLE .
lakini wanasoma hizo degree za engineering kwa matokeo ya o level,wanasoma medicine kwa matokeo ya o level, kwa nini isiwezekane kwa matokeo ya o level ya tanzania?
changanya akili hapa maana nakushangaa kujiona unafikiri kwelikweli lakini badoooooooooooooooooooooo mambo mengi hujui na huwezi kuyajengea hoja.
NA HAO HAO WATANZANIA TUNAZIDIWA NA KENYA KWENYE UMAHIRI WA WASOMI WETU HATA KATIKA NYANJA YA AFYA JAMAA SIJAWAHI KUSIKIA ETI WANAKUJA TANZANIA KUTAFUTA VIPIMO ILA SISI NDIO HUWAFATA WAO WATUSAIDIE NA KENYA WANASOMA MAMBO YA UDAKITARI MUHIMBILI HII YA KWETU KWA MATOKEO YAO YA O LEVEL. WHY NOT TANZANIANS?