God Heals
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 719
- 1,365
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tukuntu yu???
Acha kabisa mkuu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tukuntu yu???
Tueleze hizo za international school na sisi wengine tupate picha mkuu.Hapa kama hapanihusu ngoja ni sakribu hii thread
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Shule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duu jamaa acha fiksiCc:shilole
Haha, ila me nimewahi wakimbiza hata st. hawakutoboa.
Nakumbuka ilikuwa ni English forum competition ilifanyika mbeya miaka hiyo.
St.Francis, st.Mary's na st.Aggrey walikaa.
Niliwashindia kwenye kuweka viunganishi na mbwembwe za kiinglishi zote unazozifahamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo hapo mbabaaaaaaNakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.
"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahaa bakora vipi mkuu enzi hizo, Sisi wengine wa 90s niliwahi kula bakora ya mgongo hadi mkono na mgongo vikaganda kwa muda nikajua nakufa. HuYo Mwalimu alihamia kutoka International akakuta watoto wa uswazi kelele ndio ilikuwa chanzo....Shule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
We Wa kishua labdaHapa kama hapanihusu ngoja ni sakribu hii thread
Mwenye shilling siku hiyo ndiyo boss atalisha best zake wotenilikuwa sipendi kazi ya kusafisha vyoo, looo hapana kwa kweli, kubeba kuni, kuchota maji ya kumwagilia bustani, kuomba andazi afu mtu anang'ata anakupa cha mdomoni, yote tisa kumi kupalilia mashamba ya walimu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]ST kayumba.
1:Nilikuwa ninabustani ya mchicha pale darasa la tatu. Break ya saa nne ndio tunaenda kuuza pesa inayopatikana ni kwa maendeleo ya shule. Ukifikisha TSH nakumbuka kama sio mia mia mbili mchicha uliobaki wote ni wako.
2:Kuja ST kayumba iliyo karibu na mji/jiji nikakutana na Bustani ya maua. Pale nilikuwa na bustani yenye maua Saa sita, Maua Kitenge na Maua Mchicha..
Pembeni ndani ta sport yangu ya bluu nina ufagio, Kidumu cha maji, Mataftari yamejikunja kama masikio ya mmasai.
Kalamu ya wino imevujia kwenye kona ya sport yangu saafi. Nilikuwa na story nyingi sana nikisimama kusimulia hadithi jamaa wanaanza kucheka darasa zima kabla hata sijaongea. Hadi namaliza STD seven au ST kayumba Form sita nilikuwa nimetungiwa majina zaidi ya kumi na tano
Hakuna maisha mazuri kama yale.... sikuwahi kujuta...
ulikuwa na moyo wa kununua fagio hahahaa, sikuwahi kununua fagioilikuwa kila nikinunua fagio lazma niibiwe , basi nami nikaanza tabia ya kuchomoa chelewa kwa lola fagio la mtu anayezubaaa mpaka napata fagio kabisa.