St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

ST kayumba.
1:Nilikuwa ninabustani ya mchicha pale darasa la tatu. Break ya saa nne ndio tunaenda kuuza pesa inayopatikana ni kwa maendeleo ya shule. Ukifikisha TSH nakumbuka kama sio mia mia mbili mchicha uliobaki wote ni wako.

2:Kuja ST kayumba iliyo karibu na mji/jiji nikakutana na Bustani ya maua. Pale nilikuwa na bustani yenye maua Saa sita, Maua Kitenge na Maua Mchicha..

Pembeni ndani ta sport yangu ya bluu nina ufagio, Kidumu cha maji, Mataftari yamejikunja kama masikio ya mmasai.
Kalamu ya wino imevujia kwenye kona ya sport yangu saafi. Nilikuwa na story nyingi sana nikisimama kusimulia hadithi jamaa wanaanza kucheka darasa zima kabla hata sijaongea. Hadi namaliza STD seven au ST kayumba Form sita nilikuwa nimetungiwa majina zaidi ya kumi na tano

Hakuna maisha mazuri kama yale.... sikuwahi kujuta...
 
Shule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cc:shilole

Haha, ila me nimewahi wakimbiza hata st. hawakutoboa.
Nakumbuka ilikuwa ni English forum competition ilifanyika mbeya miaka hiyo.
St.Francis, st.Mary's na st.Aggrey walikaa.
Niliwashindia kwenye kuweka viunganishi na mbwembwe za kiinglishi zote unazozifahamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duu jamaa acha fiksi
 
nilikuwa sipendi kazi ya kusafisha vyoo, looo hapana kwa kweli, kubeba kuni, kuchota maji ya kumwagilia bustani, kuomba andazi afu mtu anang'ata anakupa cha mdomoni, yote tisa kumi kupalilia mashamba ya walimu.
 
444aba670d705936a21c117449f7f251.jpg
that time tulikuwa kama hivi daaa tumetoka mbali
 
Nakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.

"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo hapo mbabaaaaaa
 
Shule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
hahahahaa bakora vipi mkuu enzi hizo, Sisi wengine wa 90s niliwahi kula bakora ya mgongo hadi mkono na mgongo vikaganda kwa muda nikajua nakufa. HuYo Mwalimu alihamia kutoka International akakuta watoto wa uswazi kelele ndio ilikuwa chanzo....
 
nilikuwa sipendi kazi ya kusafisha vyoo, looo hapana kwa kweli, kubeba kuni, kuchota maji ya kumwagilia bustani, kuomba andazi afu mtu anang'ata anakupa cha mdomoni, yote tisa kumi kupalilia mashamba ya walimu.
Mwenye shilling siku hiyo ndiyo boss atalisha best zake wote
Ila tulikuwa tunapendana sana
 
ST kayumba.
1:Nilikuwa ninabustani ya mchicha pale darasa la tatu. Break ya saa nne ndio tunaenda kuuza pesa inayopatikana ni kwa maendeleo ya shule. Ukifikisha TSH nakumbuka kama sio mia mia mbili mchicha uliobaki wote ni wako.

2:Kuja ST kayumba iliyo karibu na mji/jiji nikakutana na Bustani ya maua. Pale nilikuwa na bustani yenye maua Saa sita, Maua Kitenge na Maua Mchicha..

Pembeni ndani ta sport yangu ya bluu nina ufagio, Kidumu cha maji, Mataftari yamejikunja kama masikio ya mmasai.
Kalamu ya wino imevujia kwenye kona ya sport yangu saafi. Nilikuwa na story nyingi sana nikisimama kusimulia hadithi jamaa wanaanza kucheka darasa zima kabla hata sijaongea. Hadi namaliza STD seven au ST kayumba Form sita nilikuwa nimetungiwa majina zaidi ya kumi na tano

Hakuna maisha mazuri kama yale.... sikuwahi kujuta...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]
 
ilikuwa kila nikinunua fagio lazma niibiwe , basi nami nikaanza tabia ya kuchomoa chelewa kwa lola fagio la mtu anayezubaaa mpaka napata fagio kabisa.
ulikuwa na moyo wa kununua fagio hahahaa, sikuwahi kununua fagio
 
Back
Top Bottom