Mwenye shilling siku hiyo ndiyo boss atalisha best zake wote
Ila tulikuwa tunapendana sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] duuu ingekuwa shuleni siku hiyo ungechezea mbakora asubui mpaka jioniiiiShule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
Afu mkuu "shikamoo"Shule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
Umesahau na mbolea juuUnaagizwa kuleta kuni,kokoto,Fagio,fimbo tano,jembe,fuko la rambo la madaftari daah na namba unatakiwa kuwahi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sa si ungemuuliza ticha wako mkuuNakumbuka gwaride la saa nane mchana linapigwa..... Tunaimba mtukula pole wakati mtukuka yenyewe siijui na wala sijawahifika huko..hii ni wakati wa vita ya IDD Amin Dada..... Nduli.....
HAHAHA fagio hatununui huko, sisi siku ya kuchuma mifagio na fimbo mnajipanga baada ya kula ugali sangara home mnapitiana wavulana safari porini kwenfa kuchuma mifagio, Maana waalimu walikuwa wameweka na viwango kuna mingine haikubaliki. Nakumbuka kuna siku niliota naende kuchuma ufagio nikasimama na kutaka kufungua mlango, dogo langu huwa ananicheka hadi kesho..ulikuwa na moyo wa kununua fagio hahahaa, sikuwahi kununua fagio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbaaali thaaaanathat time tulikuwa kama hivi daaa tumetoka mbali
You ntuyuuuu hahahaahahNakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.
"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ilikuwa kila nikinunua fagio lazma niibiwe , basi nami nikaanza tabia ya kuchomoa chelewa kwa lola fagio la mtu anayezubaaa mpaka napata fagio kabisa.
Sema hakyanane! Maana usijekuwa hadi dokta lakini kiinglishi ndo vile!Najuta kusoma bush! Mpaka sasa nina degree ila kingereze sijui
Kwa kupendana nakubali a aisee tena ss kwenye UK I pig an a na mmoja ujue utachangiwaMwenye shilling siku hiyo ndiyo boss atalisha best zake wote
Ila tulikuwa tunapendana sana
bwana weeee ulimkaba mwalimShule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
OK hongera mkuuSure Mkuu husna muba,siwezi danganya.
Me mbaya sn kwny although......,not only...., despite......,nevertheless....., etc
Duuu hadi kokoto!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaagizwa kuleta kuni,kokoto,Fagio,fimbo tano,jembe,fuko la rambo la madaftari daah na namba unatakiwa kuwahi.
St. Magufuli wanafundishwa kujibu mitihani tu ila kichwani hamna kituTunapasuaga ingawaje kwenye interview wale wa St Joseph na St Mary wanatushinda kwa Kiingilishi, jibu tunalijua lakini ile ze makanizim ni tatizo.
Tukuntu yu?Hahaaa dah nimekumbuka form two somo la english kuna kitu kinaitwa tag questions nikikumbuka nacheka san shenti shiiiii?
Wazee wa Tukuntu yu?Nakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.
"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]