St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

St.Kayumba wote tukutane hapa Wazee wa kidumu na Maji

Shule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
[emoji15] [emoji15] [emoji15] duuu ingekuwa shuleni siku hiyo ungechezea mbakora asubui mpaka jioniiii
Aiseee kulikuwa kuna ticha anaitwa"chinyama" basi jamaa anaweza kukuchapa asubui mpaka jioni jamaa anachapa balaa
 
Shule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
Afu mkuu "shikamoo"
78 Mimi mama yangu ndio yko primary
Heshima yako mkuuuuuuuu
 
Nakumbuka gwaride la saa nane mchana linapigwa..... Tunaimba mtukula pole wakati mtukuka yenyewe siijui na wala sijawahifika huko..hii ni wakati wa vita ya IDD Amin Dada..... Nduli.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sa si ungemuuliza ticha wako mkuu
 
ulikuwa na moyo wa kununua fagio hahahaa, sikuwahi kununua fagio
HAHAHA fagio hatununui huko, sisi siku ya kuchuma mifagio na fimbo mnajipanga baada ya kula ugali sangara home mnapitiana wavulana safari porini kwenfa kuchuma mifagio, Maana waalimu walikuwa wameweka na viwango kuna mingine haikubaliki. Nakumbuka kuna siku niliota naende kuchuma ufagio nikasimama na kutaka kufungua mlango, dogo langu huwa ananicheka hadi kesho..
 
444aba670d705936a21c117449f7f251.jpg
that time tulikuwa kama hivi daaa tumetoka mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbaaali thaaaana
 
Nakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.

"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You ntuyuuuu hahahaahah
 
Shule za komandoo Anord kigalon cha maji ufagio kuni mbili fito mbili na nyasi jembe na mbegu za viazi na mihogo jembe ongezea na mfuko wa daftari yaani kama unaenda vitani tukio la mwisho nakumbuka nilimkaba mwalimu mkuu ILEKANILO PRIMARY SCHOOL 1978 alinitibua kisa jembe sina aksema nifate jembe nikagoma
bwana weeee ulimkaba mwalim
 
Nakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.

"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazee wa Tukuntu yu?
 
Back
Top Bottom