AminYeah ht mm ninao aiseee Mungu awatunze mashosti zetu tuzeeke pamoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tulikuwa tunaagizwa nyanya au machungwa darasa zima za kufundishiwa sehemu halafu anatumia nyanya moja tu zingine anaondoka nazo halafu tulikuwa fea sana hatuulizi wala nn
Hizo hadi leo hii Niko chuo kikuu lakini bado naona hizo tag question ni kama mazingaombwe na miujiza[emoji2] [emoji2]Hahaaa dah nimekumbuka form two somo la english kuna kitu kinaitwa tag questions nikikumbuka nacheka san shenti shiiiii?
Nakumbuka mvua ilkua ikinyesha kila nikipewa mwamvuli nyumban lazma nkaibiw so ikabd MAMA aache kunipa miamvul hata mvua inyeshe vip yan…!!ilikuwa kila nikinunua fagio lazma niibiwe , basi nami nikaanza tabia ya kuchomoa chelewa kwa lola fagio la mtu anayezubaaa mpaka napata fagio kabisa.
Kuhusu suala la viboko asee, acha tu! Nakumbuka kuna mwalimu mmoja alihamia shuleni kwetu tukiwa darasa la sita, akawa mwalimu mkuu. Huyu mwalimu kabla hajaamia alipewa sifa shule yetu ina "manunda sana" sasa akaja na fimbo zake mbili.
1. Inaitwa "zima kibatari", wakuu hii ukitwishwa huamki mpk hata dakika moja ipite, au zaidi.
Hafu huyu "ticha" alikuwa kashiba, mbavu, na kaenda hewani. Na hii hata kama alikuwa amekasirika sana, atapiga mwisho mbili tu, akizidisha lazima unye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
2.Iliitwa "tamba uone boko kuna nini". Hii ilikuwa ni ya mkanda mithili ya ile mikanda inayozungushiwa mitambo ile ya mashine za kusagia mawe. Hii ukitwishwa maumivu yake yalikuwa hayasimuliki. Na hii alikuwa anaitumia mara chache sana. Hii ilikuwa inachana mpaka makalio.
Halafu akimaliza kugawa "doso" anawafolenisha na kuanza kuwaimbisha nyimbo za dhihaka, mkizunguka shule nzima. Kwa mfano kosa likiwa ni kutokana na kupiga kelele, atawaimbisha "Boko ina wenyewe, kelele si jadi yetu[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] .
Heshima sana kwako
mwl. Chambo, (sasa hivi ni afisa elimu wilaya x)
Raha sana arent you[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizo hadi leo hii Niko chuo kikuu lakini bado naona hizo tag question ni kama mazingaombwe na miujiza[emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we umetisha ulikua unasindikiza wenzakoKitu pekee nachokumbuka ni kwambaaaa..kubebeshwa kote kuni,mbolea,jembe,fagio,kwenda kafanya kazi om kwa mwalimu nk. Nlitoka kama nlivyoingia yan ckuambulia chochote akilini..cjui walikua wanafundisha kikorea
Ukienda UDSM kuna jamaa mmoja anafundisha lile somo DS.Hizo hadi leo hii Niko chuo kikuu lakini bado naona hizo tag question ni kama mazingaombwe na miujiza[emoji2] [emoji2]
Kitambo iyoHapo nipo darasa la sita, mimi ndo huyo niliejizungushia duara jekundu...nilikuwa na vituko Hatari, fkiria kwa hako kamwili nilikuwa navaa viatu vya mzee wangu huku nikijaradia nguo zaidi ya 4 kwa ajili ya kujikinga na fimbo..watu tumetoka mbali.
St kayumba za dar earl2000 darasa la sita kwenda la saba kulikua na utaratibu wa kushindana kwenye mitihani inashirikisha shule nyingi,bwana ulikua ukifeli hizo stick zake balaa[emoji2][emoji2]mda wa kwenda mnashangilia makelele mpk mnafika
Sambusa za ubwabwaHlf ww utakua umesoma shule moja na mm si kwakufanana huko na kwetu ubwabwa ulikuwepo
He is right, question tag is added at the end of the sentence or statement, 1.to see if the sentence is correct 2. It is used to ask guestionUkienda UDSM kuna jamaa mmoja anafundisha lile somo DS.
Yeye kila akiongea sentensi mbili lazima atupie Question tag. Isn'i it?
Umekuwa ugojwa wake kwa mara ya kwanza watu wanacheka balaa. Maana bila hiyo hawz kuongea
Boko shule ya msingi,[emoji23] [emoji23] [emoji23] duh we jamaa umesoma boko nini, aisee jf ni kijiji
hahahahaa bora ulowe tu .Nakumbuka mvua ilkua ikinyesha kila nikipewa mwamvuli nyumban lazma nkaibiw so ikabd MAMA aache kunipa miamvul hata mvua inyeshe vip yan…!!
Cjui mkuu nlikua najitaid kuelewa lakini wap ila ata kufaulu kwenda form1 alienda mmoja tena cyo kwa alama za juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] we umetisha ulikua unasindikiza wenzako