winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,006
- 1,151
Tuliagizwa mpaka matofali ya kuchoma ila walimu Mungu anawaona😀😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] apo umeng'aa mbona shati linakuaga jeusi kabisa soksi ndo usisemethat time tulikuwa kama hivi daaa tumetoka mbali![]()
Kuhusu suala la viboko asee, acha tu! Nakumbuka kuna mwalimu mmoja alihamia shuleni kwetu tukiwa darasa la sita, akawa mwalimu mkuu. Huyu mwalimu kabla hajaamia alipewa sifa shule yetu ina "manunda sana" sasa akaja na fimbo zake mbili.hahahahaa bakora vipi mkuu enzi hizo, Sisi wengine wa 90s niliwahi kula bakora ya mgongo hadi mkono na mgongo vikaganda kwa muda nikajua nakufa. Hujo Mwalimu alihamia kutoka International akakuta watoto wa uswazi kelele ndio ilikuwa chanzo....
Huyo siyo mkuu tu anaweza akawa ndo dingi wako maana age mate wa maza. Kwa hiyo sema shikamoo baba 😀😀😀Afu mkuu "shikamoo"
78 Mimi mama yangu ndio yko primary
Heshima yako mkuuuuuuuu
wewe sepa hapakufai hukuHapa kama hapanihusu ngoja ni sakribu hii thread
Hahahahaa Mwal noma sana huyo...Kuhusu suala la viboko asee, acha tu! Nakumbuka kuna mwalimu mmoja alihamia shuleni kwetu tukiwa darasa la sita, akawa mwalimu mkuu. Huyu mwalimu kabla hajaamia alipewa sifa shule yetu ina "manunda sana" sasa akaja na fimbo zake mbili.
1. Inaitwa "zima kibatari", wakuu hii ukitwishwa huamki mpk hata dakika moja ipite, au zaidi.
Hafu huyu "ticha" alikuwa kashiba, mbavu, na kaenda hewani. Na hii hata kama alikuwa amekasirika sana, atapiga mwisho mbili tu, akizidisha lazima unye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
2.Iliitwa "tamba uone boko kuna nini". Hii ilikuwa ni ya mkanda mithili ya ile mikanda inayozungushiwa mitambo ile ya mashine za kusagia mawe. Hii ukitwishwa maumivu yake yalikuwa hayasimuliki. Na hii alikuwa anaitumia mara chache sana. Hii ilikuwa inachana mpaka makalio.
Halafu akimaliza kugawa "doso" anawafolenisha na kuanza kuwaimbisha nyimbo za dhihaka, mkizunguka shule nzima. Kwa mfano kosa likiwa ni kutokana na kupiga kelele, atawaimbisha "Boko ina wenyewe, kelele si jadi yetu[emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] .
Heshima sana kwako
mwl. Chambo, (sasa hivi ni afisa elimu wilaya x)
hiyo ni j3 ndo mana nimeng'aaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] apo umeng'aa mbona shati linakuaga jeusi kabisa soksi ndo usiseme
Hahaaa dah nimekumbuka form two somo la english kuna kitu kinaitwa tag questions nikikumbuka nacheka san shenti shiiiii?
Tulikuwa tunawachosha mno, na ndio maana hata wakati mwingine walikuwa wanaomba "collabo"Hahahahaa Mwal noma sana huyo...
Mimi nakumbuka darasa la tano nilikuwa nadaiwa ADA 3000. Mwal mkuu tena tulikuwa tunakaa nae mtaa mmoja. alikuja na fimbo nene kama bomba la nchi tatu ili atukomoe wadaiwa sugu. Sasa sisi tukawa tunamwambia akamdai mzazi sisi hatuusiki. Hapo ilikuwa ni Moja ya nguvu unaunga hadi nyumbani.
Nimegundua wale walimu tulikuwa tunawachosha sana...
Eeeh hii ndio old school Og yenyewe. Wazee wa Kidumu fagio.that time tulikuwa kama hivi daaa tumetoka mbali![]()
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wallahi u made my daytukuntu yu???
Du aseeeHapo nipo darasa la sita, mimi ndo huyo niliejizungushia duara jekundu...nilikuwa na vituko Hatari, fkiria kwa hako kamwili nilikuwa navaa viatu vya mzee wangu huku nikijaradia nguo zaidi ya 4 kwa ajili ya kujikinga na fimbo..watu tumetoka mbali.
St kayumba raha san kweli nimeamin wakati haurudi nyuma lait ningeambiwa kitu gani ungependa kijirudie maishan mwangu hakika ningejibu nirudie shule ya msingi ilikuwa rah san
mbona mlikuwa mmekomaa sana nyie,Hapo nipo darasa la sita, mimi ndo huyo niliejizungushia duara jekundu...nilikuwa na vituko Hatari, fkiria kwa hako kamwili nilikuwa navaa viatu vya mzee wangu huku nikijaradia nguo zaidi ya 4 kwa ajili ya kujikinga na fimbo..watu tumetoka mbali.
Unaagizwa kuleta kuni,kokoto,Fagio,fimbo tano,jembe,fuko la rambo la madaftari daah na namba unatakiwa kuwahi.
Maisha ndugu yangu.....hapo kutoka nyumbani mbaka shule ni km9 kichwani umebeba mzigo wa kuni kwa ajili ya kwenda kupikia uji na kujikinga na baridi, mgongoni begi na mkononi fagio na jembe..kwa maisha hayo lazima ngozi ikose Nuru na ukomae.mbona mlikuwa mmekomaa sana nyie,