'St. Nyerere’s' 18 political miracles

'St. Nyerere’s' 18 political miracles

Utakatifu wa Nyerere unatoka wapi?

Nyerere anataka kupewa ''Utakatifu''!, ajulikane kama "Saint Nyerere"!?

Jee, utakatifu huu unatokana na nini?
 
Utakatifu wa Nyerere unatoka wapi?

Nyerere anataka kupewa ''Utakatifu''!, ajulikane kama "Saint Nyerere"!?

Jee, utakatifu huu unatokana na nini?

anataka kutokea wapi? source yako ni nini kuwa Marehemu Nyerere anataka kupewa utakatifu? Manake mara ya mwisho kuangalia Nyerere bado yeye ni "hayati" wa kudumu.
 
anataka kutokea wapi? source yako ni nini kuwa Marehemu Nyerere anataka kupewa utakatifu? Manake mara ya mwisho kuangalia Nyerere bado yeye ni "hayati" wa kudumu.

Hujui kuwa ''utakatifu'' wanapewa marehemu tuu?
 
Utakatifu wa Nyerere unatoka wapi?

Nyerere anataka kupewa ''Utakatifu''!, ajulikane kama "Saint Nyerere"!?

Jee, utakatifu huu unatokana na nini?

Nadhani swali la Mwanakijiji liko hapo kwenye nyekundu.
 
I don't care hata akiwa "pope" au saint" hiyo wewe inakuhusu nini? si wao wanaompa wana vigezo vyao what is your point? hutaki awe au? acha kuingilia yasiyo kuhusu?
 
Utakatifu wa Nyerere unatoka wapi?

Nyerere anataka kupewa ''Utakatifu''!, ajulikane kama "Saint Nyerere"!?

Jee, utakatifu huu unatokana na nini?

Wewe umesema "Nyerere anataka kupewa utakatifu" na simple translation ni kwamba "Nyerere wants to become a saint". Your choice of words is open to different translations. Sema wanataka kumpa Nyerere "utakatifu" hapo utaeleweka moja kwa moja.
 
kwa asiye jua kiswahili cha pwani ndio atafanya direct translation kama hiyo yako.....
kwa kiswahili cha pwani ukisema "mwanafalsafa anataka kupewa uongozi wa juu wa ccm" haimaanishi kuwa mwanafalsafa anasema au anafanya vitendo SASA apewe huo uongozi, ila watu wanataka kumpa.
kwa kiswahili cha pwani hapo "kupewa" ndio inasimama kama "main verb"
 
Utakatifu wa Nyerere unatoka wapi?

Nyerere anataka kupewa ''Utakatifu''!, ajulikane kama "Saint Nyerere"!?

Jee, utakatifu huu unatokana na nini?
Waulize wenyewe wakatoliki, watakwambia utaka-tifu kaupata vipi!
 
Dar es Salaam said:

Kwenda haja aende mwingine..kutawadha utawadhe wewe, inakujaje?
 
Utakatifu wa Nyerere unatoka wapi?

Nyerere anataka kupewa ''Utakatifu''!, ajulikane kama "Saint Nyerere"!?

Jee, utakatifu huu unatokana na nini?

Dar es salaam...
Utume wa Muhamad unatoka wapi? Ni hivyo hivyo kwa Nyerere.
 
Kama tujuavyo, siasa ni mchezo hatari na ni mtihani mkubwa mno kuishi maisha matakatifu ukiwa ndani ya siasa kiasi cha kukuwezesha kutangazwa mtakatifu.
 
Kwenda haja aende mwingine..kutawadha utawadhe wewe, inakujaje?
Ndo hapo sasa!! Maana hili wala halina uhusiano wowote na yoyote yule kisiasa. Haya ni mambo ya kidini tena ya Katoliki.Wao ndo wanatakiwa kuchanganua uhalali wa nyerere kuwa mwenye heri au laa kadri ya taratibu zao zilivyo. Pilipili usioila haiwezi kukuwasha bwana.
 
Ndio hapo hata mi nashangaa..wanakereka na nini? Kama sio umbeya wa kiume ni nini?
 
Soma post # 111 kwa uelewa zaidi wa nature ya jinsi ninavyotaka kutoa msaada kwako.

Ndugu sijaomba msaada kwako tambua hilo, wewe ulitaka tulete hoja ujibu na siyo kutoa msaada.

Unaruhusiwa pia kusema kuwa supu imekuwa ya pilipili kwahiyo unatimua mbio.
 
Ndugu sijaomba msaada kwako tambua hilo, wewe ulitaka tulete hoja ujibu na siyo kutoa msaada.

Unaruhusiwa pia kusema kuwa supu imekuwa ya pilipili kwahiyo unatimua mbio.

Yeah, you are right..ndio maana nilishalisema hili, kuwa wewe na mwenzako Waberoya , hampo hapa kukuza uelewa wenu bali kubisha na kujifanya ni bora kiimani kuliko wengine na hilo umelidhirisha na kupigia hoja mstari..

Unaposema huhitaji msaada wangu ina maana tayari unayo majibu upo hapa kufanya geresha na masihara, bahati nzuri nilishakubaini kitambo..Bahati mbaya kwako ndugu, maswali yako yote nitayajibu kama nilivyokuahidi..nimeshaanza baadhi yake..na na nitayamaliza at my own pleasure and time..Kazi yako itakuwa kuyabeba majibu yangu mujarabu kwenye mtima wako na kuishi nayo..maana sina msaada zaidi mazee.

Watch this space
 
Dar es salaam...
Utume wa Muhamad unatoka wapi? Ni hivyo hivyo kwa Nyerere.
Tafadhali usiweke mlingano wowote kati ya Mtume Muhammad(S.A.W) na Dikteta, katili, mkandamizaji, muuwaji, dhalimu na mwenye roho mbaya na mbovu kama Julius Kambarage Nyerere.
 
Utakatifu sio lazima ufanye miujiza kuna mambo mengi wana angalia
Kwanza kutetea imani yako hata kuku bali kifo kama wakina kizito wa uganda walio chomwa moto kwa kutetea imani yao, Kwa nyerere nafikiri nikiongozi aliye fanya mambo mema kwa nchi nakukubali kuto wekwa kwenye museun ya Taifa baada yakifo chake kama Nyerere ange taka kuwa fisadi hata hawa wanao iba leo wasinge mfikia hela ambazo ange kuwa nazo na ilisha wai kuchukua nafasi mbali mbali alikana mambo ya kidunia nakukubali kuunganisha Taifa la Tanzania na amekufa like any human na kama mwanadamu lazima uwe na dhambi but yet wanaangalia ulifanya nini kujitaidi kuwamwema
machoni pa watu hata kama ulishindwa Kikwete Naye Ajitaidi kupigana na mafisadi hata kama atashindwa tujue ameshidwa kwasababu fulani kama ni hivyo asipewe msafara wakumlinda kwasababu kila mtu ni rafiki yake it means no enemy no security
 
Back
Top Bottom