Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 2,890
- 5,632
Sahihi kabisa hiyo 2021 nilimuona akifanya matembezi pale Mlimani cyteHii itakuwa mara ya tatu, alishakuja 2017, 2021 na sasa tena.
Ni mtu anaependa kuwinda, huwa anakuja vitalu vya kuwinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa hiyo 2021 nilimuona akifanya matembezi pale Mlimani cyteHii itakuwa mara ya tatu, alishakuja 2017, 2021 na sasa tena.
Ni mtu anaependa kuwinda, huwa anakuja vitalu vya kuwinda.
Itakuwa vizuri sana akikutana na mama, wakafanye India Presidential Tour badala ya Royal Tour, itiwe manjonjo ya Bollywood, Rais Samia aonekane anapanda simba badala ya gari.Rais Samia amakaribishe Ikulu huyu Ku boost utalii
Tusubiri kama atakaribishwa Lumumba stHivi ile kesi yake ya mwaka 1993 ya kuhusika kwenye ugaidi Bombay(kwa sasa Mumbai) aliachiwa achiwaje na wakati alihusika moja kuhifadhi silaha nyumbani kwake zilizotumika kwenye tukio?! Huyu gaidi isije ikawa ni mhusika mkubwa wa usafirishani wa pembe za ndovu hapa nchini, hivyo vitalu anavyowinda isije ikawa zuga tu
Naliona libashungwa linacheka ka zuzu🤣🤣
🤣🤣🤣Ohooo🏌️🏊🤺Hivi ile kesi yake ya mwaka 1993 ya kuhusika kwenye ugaidi Bombay(kwa sasa Mumbai) aliachiwa achiwaje na wakati alihusika moja kuhifadhi silaha nyumbani kwake zilizotumika kwenye tukio?! Huyu gaidi isije ikawa ni mhusika mkubwa wa usafirishani wa pembe za ndovu hapa nchini, hivyo vitalu anavyowinda isije ikawa zuga tu
Tanzania kuwinda na kuchukuwa mabaki ya mnyama uliyemuwinda na kumlipia kihalali ni halali na kuna vibali vya kutoka nae akiwa amekaushwa. Hii inahusisha wanyama wote wanaowindwa kwa kulipiwa, ikiwemo na tembo.Hivi ile kesi yake ya mwaka 1993 ya kuhusika kwenye ugaidi Bombay(kwa sasa Mumbai) aliachiwa achiwaje na wakati alihusika moja kuhifadhi silaha nyumbani kwake zilizotumika kwenye tukio?! Huyu gaidi isije ikawa ni mhusika mkubwa wa usafirishani wa pembe za ndovu hapa nchini, hivyo vitalu anavyowinda isije ikawa zuga tu
Sidhani kama tembo na faru wapo katika list ya wanyama wanaoruhusiwa kuwindwa katika vitalu vya uwindaji! Fuatilia data vizuriTanzania kuwinda na kuchukuwa mabaki ya mnyama uliyemuwinda na kumlipia kihalali ni halali na kuna vibali vya kutoka nae akiwa amekaushwa. Hii inahusisha wanyama wote wanaowindwa kwa kulipiwa, ikiwemo na tembo.
Amita Bachan alikujaga na wale akina Hema Malini na Lekha 😀😀🐼
Sio akutane na kina Diamond; Mdude na Jyoti na kina Wema Sepetu - Hao ndio industry yake;Rais Samia amakaribishe Ikulu huyu Ku boost utalii
Kesi ya mchongo.Hivi ile kesi yake ya mwaka 1993 ya kuhusika kwenye ugaidi Bombay(kwa sasa Mumbai) aliachiwa achiwaje na wakati alihusika moja kuhifadhi silaha nyumbani kwake zilizotumika kwenye tukio?! Huyu gaidi isije ikawa ni mhusika mkubwa wa usafirishani wa pembe za ndovu hapa nchini, hivyo vitalu anavyowinda isije ikawa zuga tu
Kifaru marufuku, wengine ruksa:Sidhani kama tembo na faru wapo katika list ya wanyama wanaoruhusiwa kuwindwa katika vitalu vya uwindaji! Fuatilia data vizuri
Wewe cholo pana jua tu, choroko iko tamu na zuli sana tia kidogo uwatu, pilipili wacha kabisa pia kitu ngine watu Pana jua, korosho iko ogeza sana guvu ya tendo, veve panajua hii.Hawa wala Choroko iko ongo ongo mingi sana.
Ukiacha yule aliyepiga Maaskari na bunduki zai, akapiga watu wote eneo kama la Kariakoo lakini akaja kukutwa amefia kwenye maua, kuna mwingine alipepesuka na kuanguka baada ya kupulizwa na upepo wa kope kutoka kwenye jicho lilikonyezwa na demu.
Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa nchini.
Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na Mkurugenzi wa Utalii nchini Dkt. Thereza Mugobi na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Damasi Mfugale, bwana Dutt amesema ameamua kuja kutembelea vivutio vya utalii nchini kufuatia Filamu ya The Royal Tour iliyochezwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuonyesha hazina ya utajiri wa vivutio vya utalii nchini.
"Naipenda sana Tanzania, naiona niifanye Tanzania kuwa nyumba yangu ya pili sasa baada ya kuitazama filamu ya The Royal Tour" amesisitiza Dutt
Aidha, amesema ameamua kuwa balozi wa kujitolea kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia mitandao yake kutokana na mapenzi yake kwa Taifa la Tanzania.
Mkurugenzi wa Utalii nchini Dkt Thereza Mugobi amefafanua kuwa Tanzania imefarijika kupata ugeni wa msanii huyo maarufu duniani kutoka India eneo ambalo lina idadi kubwa ya watu takribani bilioni 1.4 ambao ni soko la kimkakati la Tanzania.
"Ujio wa Dutt ni faraja kwetu kwa vile tunatambua itasaidia kuwa vuta wageni wengi kutoka bara la Asia ambako yeye anawafuasi wengi" ameongeza Dkt. Mugobi
Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa TTB, Damasi Mfugale amesema Serikali itaendelea kuwakaribisha watu maarufu duniani ili wasaidie kufikia azma ya kufikisha wageni milioni tano ifikapo 2025 na kuliingizia Taifa dola bilioni Sita za kimarekani.
View attachment 2753774
Kesi ya mchongo.
Ndiyo maana alikuwa anapewa dhamana na kukamatwa zaidi ya mara 3. Mwisho wa siku wakamfunga nadhani miaka 5 kwa kumiliki silaha (Pistol AK-56) kinyume na sheria.
Behind the scenes zilikiwa sababu za kumdhiofisha kisiasa baba yake Sunil Dutt.