Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Eti kwa simba hii ata ije ile barcelona yakina iniesta na xavi au buyern munich watapigwa tu. Aisee yani manara ana tofauti na raisi wa yugosilavia aliyesema akitoka yeye akuna mtu wakuweza kufanya anayoyafanya.
 
Konkii simba
 
Hii mipira ya bongo inachezwa mitandaoni na magazetini. hizo sifa timu zinapewa kabla ya mchezo sijui ndo zinalewesha wachezaji, mi sijui.

Hii ni aibu kwa Taifa
 
Nasi wakija hapa bongo lazima tutawafunga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…