Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Ile bamutu nagongwa nusu ya bakumi moja ndo inayo matatizo lakini sio sisi!
Nyinyi mmeridhika kutolewa Bikira??mmepigwa kimoko cha mkwezi...sisi tumeumia but nanyinyi inaumaaaaaa😂😂😂
 
Pole sana Mtani. Kwa wingi ule wa mabao kuvurugwa lazima.

Kilinivuruga pia ila baada ya zile 5G basi kidonda kikapoa. 😃😃😃
Nimeumia sanaa hilo siwezi ficha...but nasikia na nyinyi vijana wa stendi wametoa bikra....kimoja cha mkwezi..mnavunga kama hakijatokea kitu😂😂😂😂😂
 
Ndio hivyo tena
IMG-20181216-WA0000.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa ila bongo ishakuwa ni ardhi ya maigizi sana eti "YES WE CAN"! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapana ni ndoto tu ndugu yangu na ukisikia habari zozote zinazofanana na hiyo ndoto yako zipuuze vikali, Simba ina kikosi kipana sana na ni wazoefu Wa mashindano ya kimataifa haiwezi fungwa hivyo. Kwanza mechi yenyewe ni Leo wala haikuchezwa Jana labda ndoto inabashiri tu
 
Nyingi na tumeumia sana...but na nyinyi mmeumia but mmeamua kuficha maumivu yenu nyuma ya kipigo cha simba
Hata nyie wenyewe mko tayari maumivu ya Yanga yajifiche nyuma yenu asee, TANO!!!! Aaaah mmetudhalilisha sana
 
Back
Top Bottom