Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Tumewafedhehesha kuliko nyie mnavyo tufedhsheshaga ? Sisi tumeshika mkia kwenye group ? lini tumefungwa 6?
Rekodi yenu ya kushika mkia haitakaa ivunjwe.
Utajua mwenyewe, Manake huwa mnasema ninyi ndio wababe hasa Wa mashindano makubwa. Mwisho Wa siku mnaishia kutumia uwakilishi Wa nchi kama nafasi ya kutudhalilisha sisi wengine tusio na hatia. Mmefedhehesha sana kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kawaida Mtani sababu hata msimu uliopita nyie mliitunza wee mwishowe Kagera wakafanya yao.
Lakini inauma eeeh??😂😂...sasa mbona mnajikausha kama hakijatokea kitu mnajificha nyuma ya kipigo cha mbwa koko tulichokipata simba
 
Hata nyie wenyewe mko tayari maumivu ya Yanga yajifiche nyuma yenu asee, TANO!!!! Aaaah mmetudhalilisha sana
Sisi tumeumia kwa kipigo cha mbwa koko...na nyie kubalini kuwa imeumaaa ili twende sawa
 
Bamutu bakongo bako biyeee

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Kwani we ushawahi kutolewa hadi una feel maumivu yake? Yote ya yote 5 ni nyingi sana. Angalau zingekuwa 2 au hata 3. Nafahamu maumivu uliyo nayo ila unajikaza. Yanga bado yupo pazuri sana na anaongoza ligi
 
Mmetunza Bikra imekuja kutolewa na wahuni wa stendi inachoma kama pasiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi mlipenda hela za wauza mbao mkakabidhi bikra yenu kiroho safi. Sasa mmeshakuwa madangaji yaliyokubuhu ili mfikishwe kileleni lazima vumbi la Kongo litumike. Sasa mnakwenda uarabuni na kule nasikia KY jelly hutumiwa kisawasawa
 
Ninyi mlipenda hela za wauza mbao mkakabidhi bikra yenu kiroho safi. Sasa mmeshakuwa madangaji yaliyokubuhu ili mfikishwe kileleni lazima vumbi la Kongo litumike. Sasa mnakwenda uarabuni na kule nasikia KY jelly hutumiwa kisawasawa
Kimoja cha nguruweee kinakutoa povu tuliza mtoriiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mtupu!
 
Hawa Vita club hata Al ahly atakufa pale Congo... jamaa wanajituma hakuna mtu anaezubaa uwanjani.
pasi zao za haraka,ndefu,wanakimbia... huku sisi Simba tukigonga vipasi vifupi hatuna speed, watu wamezubaa hakuna morali kama timu yaani taabu tupu.
Ok tuangalie ya mbele tuone safari tutafika au hapana... Ila tumeabishwa sana tunatakiwa kujifunza namna ya kuwasoma wenzetu na tuendane nao.
 
Jana kikapanuliwa hasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…