Hatiwezi kwenda sawa!Sisi tumeumia kwa kipigo cha mbwa koko...na nyie kubalini kuwa imeumaaa ili twende sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516][emoji115][emoji115]Msitumie nafasi ya uwakilishi Wa nchi kama kigezo cha kutufedhehesha sisi wana Yanga tusio na hatia. Mtuombe radhi bwana!! Sawa najua kikosi kipana kinapanuliwa ila tundu linazidi kiwango asee
Aliye pigwa kimoja Chooni na aliye pigwa Vitano sebuleni yupi ana afadhali.Nimeumia sanaa hilo siwezi ficha...but nasikia na nyinyi vijana wa stendi wametoa bikra....kimoja cha mkwezi..mnavunga kama hakijatokea kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtani kwema? poleni sana
Ukhty/shemeji pole umetoa?Najua utakuwa shemeji na probably from Chitchat...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Libolo kitu cha Angola hicho.Mbona hujaweka Yale ya FC LIBOLO la msumbiji lilivyoingia Au hayo umesahau?
Hahaaah bikraaa hakuna tena...wanaume wa stendi wamepiga kimoja cha mkweziHatiwezi kwenda sawa!
Tangu mbao ameitoa hiyo SEAL Basi umekuwa ukiona raha kugawa uroda.
Na wakongoman wamekandamiza kisawa sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tumepewa kipigo cha mbwa koko tumeumia hatukatai...vipi na nyinyi si mlikuwa mnatunza bikraaa ipoooo..wametoa 😂😂😂😂😂..mnataka kutumia kipigo chetu tulichopewa kuficha maumivu...tutakumbushana tu...kila mtu apambane na maumivu yakeAliye pigwa kimoja Chooni na aliye pigwa Vitano sebuleni yupi ana afadhali.
Nenda Nchini Togo sasa hivi ulizia matokea ya KIGANJA FC watakwambia.. kila mtu barani afrika anajua kilichowatokea..[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubikiriwa ukubwani haina shida sana kwa kuwa ndio utu uzima huo, tatizo wenzetu mlibikiriwa mapema sana na sasa mmekubuhu! mnagawa mpaka 5G khaa!Nyinyi mmeridhika kutolewa Bikira??mmepigwa kimoko cha mkwezi...sisi tumeumia but nanyinyi inaumaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie hamjakubuhu kubikiriwa..???Kubikiriwa ukubwani haina shida sana kwa kuwa ndio utu uzima huo, tatizo wenzetu mlibikiriwa mapema sana na sasa mmekubuhu! mnagawa mpaka 5G khaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani kwema? poleni sana
Mtani pole kwa kipigo cha jana........ukiitaja Yanga roho yako kwatu....[emoji28][emoji28][emoji28]
Pole ya nini unawapa hawa! Unakumbuka siku ile walivyowafunga wale waarabu wa Kayenze.....mji ulichafuka, kwenye magroup ya whatsup ilikuwa shida....Jana wamekomeshwa.....Na bado[emoji13][emoji13][emoji13]! Nacheka mimi bila kutoa sautiPoleni watani ndio mpira lakini tutazidi kuwaombea kheri ktk game yenu ifuatayo ya tarehe 2 dhidi ya waarabu huko misri
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawajua mlivyo, jana mngetoa hata droo tu tusingepumua....poleni! Jipangeni upyaWatu mnafurahia simba kufungwa as if simba inatoka Burundi au Kenya wacheni ufuala bana
Mashujaa FC unawakumbuka! Na ubingwa hamuupati ng'o!Nyingi na zinauma...but bikra imetolewa na vijana wa stendi huko nasikia
Aaah asante kwa masahibisho nilichanganya mambo.Libolo kitu cha Angola hicho.