Ni dhoruba kali hii. Mabeki wanakatika mno.Dak ya 75 Vita 5-0 Simba
Afadhali yako wewe.!Nilishajiandaa kisaikolojia...yaani kwa CV ile ya hawa jamaa nilijua tu hatuchomoki...tugange yajayo.
Shuti la kwanza la simba la uhakika linagonga mwamba.
5 bila MheshimiwaInjiniaaaaaaa soma kule Kinshasa
Mkuu! Leo kweli tumeumia nimekubali kwa upande wangu.Afadhali yako wewe.!