Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Simba wana udhaifu mkubwa sana kwenye uzuiaji wa mapigo ya kona.

Yote kwa yote kila mtu anavuna point nyumbani kwake
 
Halafu waandishi wetu wa habari ni hovyo kabisa...baada ya kuandika habari za kuhamisha ushindi na tahadhari wao wanaandika habari kishabiki...yaani habari za mipasho...Eti gazeti kubwa la michezo linaandika habari kishabiki...SIMBA YAFANYA KUFURU KONGO, yapangua hujuma...uandishi wa aina hii ni wa kitoto kabisa...baadala ya gazeti kuandika kwa uchambuzi na kutoa tahadhari eti wenyewe wanaandika habari za kufagilia...in fact maazeti ya Tanzania yana mchango mkubwa katika kuzorotesha na kuathiri maendeleo ya soka nchini mwetu...ovyo sana...baadala ya kuandika habari kuhusu technicalities na tactics za timu pinzani uwanjani eti wao wanaandika habari kishabiki na kwa lengo la kuuza magazeti...ovyo kabisa...
Yanaendana hadhira yenu...watu wa mpira akili zao wote zimakaa kiswazi swazi so wenye gazeti wako sawa kabisa...

Angalia ata maongezi yenu yalivo
 
Back
Top Bottom