Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Unazeeka sasa na unaanza kupungukiwa akili, simba sc inawakilisha Taifa acha umaandazi!
Simba haiwakilishi taifa inawakilisha wanachama na mashabiki wake.
Mimi siwezi kuwakilishwa na timu kama Simba.
 
Wacongo wenzangu mnaionaje game yetu na hao andadogi?

Binafsi naona tuko byee!

Hebu Mcongo mwenzangu tiririsha maoni yako hapa.
 
Lile wazo la kwenda ugenini ukiwaza ushindi au DRAW ni baya sana, unacheza bila kujituma na umakini unajikuta unapigwa za kutosha. Ilitakiwa simba waende na wimbo wa ushindi tu, tena ushindi wa nguvu, mawazo ya DRAW ni mabaya sana hasa kwa style ya wachezaji wa ligi za kwetu.
 
Simba haiwakilishi taifa inawakilisha wanachama na mashabiki wake.
Mimi siwezi kuwakilishwa na timu kama Simba.

Hoja yako kwa upande fulani ni fikirishi...mimi huwa sipendi maneno ya baadhi ya viongozi wao...maneno yao ni ya ovyo kabisa...wana majivuno sana...bora wapigwe wakati mwingine ili tuelewane, na tudumishe mshikamano nyumbani...
 
Back
Top Bottom