Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

2 b honest mie ni Yanga damu ila kwa hiki kipigo kimeniumiza hata mm daaah!
Mtu akufumue marinda na bado akutie na vidude vinne tena vya kuwashawasha!!!
Aibu hii isikieni tu ndugu zanguni!!
Nahisi hata ule uchungu wa STAND UNITED umeyeyuka kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Simba sio saizi yenu Kimpira wana Yanga
 
Poleni sana wana simba, mliongea sana kwa JSS 😂😂😂...bado mnakibarua kigumu kwa mafarao...

Msinifikirie vibaya wandugu, mimi sio M-yanga

Konki konki konki oili chafu,
Wydad Casablanca
 
Back
Top Bottom