Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Je triple C wa manara kucheza? Lakini najua hasira za Simba zitaishia kwa Ahly

Sent using Jamii Forums mobile app

Ubora wa simba unamalizwa kwa kuwafanyia higher pressing tu.

Al ahly waliweza kuwazuia na kushinda dhidi ya AS VITA kutokana na kufanya pressing ..

Al ahly wako vizuri sana kwenye Pressing..

Natarajia kuona AIBU nyingine ikiingia kwenye historia ya soka letu..[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo mmeamua kututolea uvivu Watanzania wenzenu! Haya bhana

Kwa kauli hii sasa tunaanza kuelewana...maana kiburi na majivuno mlizidi mno na hasa baadhi ya viongozi wenu na magazeti yenu...kumbe sasa mnafahamu kuwa mpo hapa Tanzania...maana tambo zilizidi mno..mara sijui simba hii ni ya sayari nyingine, mara simba hii hata waje Barcelona au Man United, mara simba hii ni ya anga nyingine, mara simba hii Yanga mtapiwa nyingi, mara Simba wafanya kufuru Kongo wapangua hujuma zote, mara nyie Yanga saizi yenu sijui Stand United na Mbao na siyo Simba...kumbe wenzenu wakongo wanawasoma tu...in fact kwa maoni yangu hakuna timu rahisi kuifunga kama Simba...ina mafowadi watatu ambao ni wakali ambao ni Bocco, Okwi na Kagere...hawa hufunga mabao kwa kulishwa tu wao hawajui kutafuta...Okwi ni mviziaji hukaa peke yake , Kagere yeye ni mipira ya kutanulizziwa na vichwa, na Bocco ni opportunist kwa mipira inayozagaa...sasa wajanja wanakaba vyanzo vya pasi na Simba kwisha...hakuna cha Okwi, Bocco wala Kagere...
 
Simba naombeni tafsiri ya hii. Admin usifute wala kuunganisha jamani leo nakicheko cha hatari sana
kiganja.JPG
 
Hapo ndo ninapoupendea ukweli yaan hutumii nguvu kubwa kuwashawishi watu kwamba unachosema ni ukweli bali unautoa tu then unatulia unawaacha wanjikuna.Shaffih kawapa draw na hao jamaa kwa Mchina,vipi bado jamaa ni mbaya?
 
Kwa kauli hii sasa tunaanza kuelewana...maana kiburi na majivuno mlizidi mno na hasa baadhi ya viongozi wenu na magazeti yenu...kumbe sasa mnafahamu kuwa mpo hapa Tanzania...maana tambo zilizidi mno..mara sijui simba hii ni ya sayari nyingine, mara simba hii hata waje Barcelona au Man United, mara simba hii ni ya anga nyingine, mara simba hii Yanga mtapiwa nyingi, mara Simba wafanya kufuru Kongo wapangua hujuma zote, mara nyie Yanga saizi yenu sijui Stand United na Mbao na siyo Simba...kumbe wenzenu wakongo wanawasoma tu...in fact kwa maoni yangu hakuna timu rahisi kuifunga kama Simba...ina mafowadi watatu ambao ni wakali ambao ni Bocco, Okwi na Kagere...hawa hufunga mabao kwa kulishwa tu wao hawajui kutafuta...Okwi ni mviziaji hukaa peke yake , Kagere yeye ni mipira ya kutanulizziwa na vichwa, na Bocco ni opportunist kwa mipira inayozagaa...sasa wajanja wanakaba vyanzo vya pasi na Simba kwisha...hakuna cha Okwi, Bocco wala Kagere...
Siku mbayaa sana kwa Fisi Fc!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom