Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Jamani wakuu natafuta jezi ya As vita sijui zinapatikana wapi anayejua tafadhali nipo tayari kutoa gharama yeyote ile ilimradi niipate
Namimi natafuta jezi ya stand united
 
Nikisema sijafurahi nitakuwa MUONGO na kubwa la WAZANDIKI!! Sikuwaombea waingie 16 Bora kwa kuwapenda bali kwa kutaka nizipate raha bushara kama hizi za mtu kula ngoma gwala!
Makwasukwasu fc msijisahaulishe matatizo yenu kupitia simba...nanyie si mmefirimbwa😂😂
 
Pale unapoona umepata majaribu na yamepita..unajikuta unaletewa majaribu makubwa 10 times.......

Khamsaa nyinginee zileee
Screenshot_20190119-223035.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mnafurahia simba kufungwa as if simba inatoka Burundi au Kenya wacheni ufuala bana
 
Back
Top Bottom