Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Alivyoambiwa Simba ni andadogi hawakuelewa.
Yaani walimchamba sana Dauda. Namsubiria tu Manara akifika sehemu yenye Internet tuone ataandika kwa lugha gani huko Insta. Maana wakifungwa anapost kwa kingeredha. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
simba ijifunze club bingwa Africa kila team ikiwa away inatafuta sare Ndio mpira wa africa ukiwa home tafuta matokeo, hao vita, mazembe Al ahly, experience wakiwa away wanatafuta droo ushindi ukipatikana ni Bahati Sana ,Jaza viungo weka straika 1 punguza idadi ya magoli, mf mdogo Angalia fainali ya club bingwa ahly anashinda 3-1 home away experence anambabua 3-0 ,experence ananyanyua kwapa, fainali shilikisho etoile du salehe home3-0 ,anakwenda away anababuliwa 3-1 na vita ,salehe ananyanyua kwapa ndio soka LA Africa,kufungwa 5 disadvantage ya H2H
 
Jamani nicheke nilieeeeeeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khamsaaaaaaaa
Wapambe wenzangu mko wapiiii?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaaaaa. Cheeeeeeeka tu.

Tuuuupoo
 
Mpira umekwishaaaaaaa
Last week tulitukanwa sana hapa, tukaambiwa tunajipendekeza hahaaaaa
Leo vipi tena? Wenyeji wenye Simba yenu mko wapiiiiiiiii?
Naona wapambe ndio tumetawala hapa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nawashangaa wale waliotuzodoa wote siwaoni hapa. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kwani kikosi cha stand united kina gharama ya sh ngapi
Naona makwasukwasu mmejaa kwenye huu uzi mnajisahaulisha kipigo chenu mlichopataπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weka na picha ya kipigo walichopewa makwasukwasu fc
Stendi united oyeeee
POLE SANA KWA KUTESEKA MTANI. 🀣🀣🀣🀣🀣 KWA HIZI POST ZAKO NAJIKUTA TU NAAMINI WACONGO SI WATU WAZURI YAANI WAMEKUVURUGA KABISA
 
Back
Top Bottom