Staili mpya ya kufunga ndoa yaingia.


Ila hata wanaume nao siku hizi kiwango kimeshuka hivyo na kinadada nao wana advantage maana wanajua mwanaume alienae yupo safi (nadhani tusi-judge kwa upande mmoja maana hili tatizo pia lipo kwa wanaume pia hivyo hata mwanamke nae atakuwa hajauziwa mbuzi kwenye gunia)
 

Hapo umenena maana kuna vidume vingine vinajua kitu kikiwa kina uwezo wa kusimama bila support for a long period basi huwa anajiona yupo fit kumbe kuna ambao wanalea watoto si wao na wakienda kupimwa utakuta wengine hawana uwezo wa kumpa mimba mwanamke
 
hivi kwani tunaolewa ili tuzae???

mie mbona nimepanga kutokuwa na mtoto,does that mean na mume nipotezee?:wacko::A S-baby:

Mume lazima ila si unachagua ambae tayari alishakuwa na watoto maana kwa maisha yetu ya kibantu mwanaume wa kiswazi lazima atake mtoto wa ukumbusho
 
I say mwambie jamaa yako afanye DNA hao watoto sio wake huyo ndio kauziwa mbuzi kwa mlio,
 
hili halikuanza leo wala jana lipo muda mrefu sana, na si muhimu sana kumlaumu mwanamke kozi mens wengi hawataki kuuziwa mbuzai kwenye junia, pia wengine mimba ndizo zinasukuma uwepo wa ndoa, Mi niliwahi ambiwa na babu yangu mwaka 1981 kwamba unaweza kuoa mwanamke mwenye kikwapa (harufu kali baada ya tendo la ndoa) na akasema wengine wanamikosi, kujua hayo nilazima usex uone matokeo yake, usipofanya hivo ukioa ndoa itavunjika within no time,
 

Like...
 

co kosa lako umeathiriwa na bongo movie mpaka unashndwa kutofautisha fantasy na reality.
4 ur information hii k2 ya kutest mashine hata huko western world ulipocopy hzi -ve ideas zako wanafanya. Ask google upate statistics wanawake wangap wanaolewa kwenye nchi za European union wakiwa na mimba. Acha kupanic dada wanajamvi tutahic labda na wewe ndo walewale huna kizazi
 
hivi kwani tunaolewa ili tuzae???

mie mbona nimepanga kutokuwa na mtoto,does that mean na mume nipotezee?:wacko::A S-baby:

ukshapata mchumba mwambie huna mpango wa kuzaa uone kama hata mtafika hyo stage ya kumuita mume, plan zako nzuri lakini znaapply Utopia co kwny real world
 

Wewe unawashauri hivyo kama nani? kwa authority gani? Au una condescend tu?

Kama sharti la ndoa zao ni kutest fertility fully kwanza kabla ya kuoa utawaambia nini?
 
ukshapata mchumba mwambie huna mpango wa kuzaa uone kama hata mtafika hyo stage ya kumuita mume, plan zako nzuri lakini znaapply Utopia co kwny real world

mkuu jodoki kaniambia nitafute mwanaume mwenye watoto tayari,so sio ishu...ipotezee:A S-baby:
 
Last edited by a moderator:

Who told you that?

Mademu asilimia kubwa wazushi sana.
 

at least europe wanaume wana better tolerance,wengi wanaoana hivyo hivyo hata kama mmoja hana uwezo wa kuzaa,na wengi wana adopt watoto, na kukeep pets....siku zinakwenda.
 
Who told you that?

Mademu asilimia kubwa wazushi sana.

Pamoja na uzushi wao kwa asilimia kubwa (sikubishii) ila kuna haja ya kuangalia upande wa pili wa shilingi, kuna bunduki siku hizi zinafanya kazi vizuri sana lakini risasi zinazotoka hazina tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…