Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Kwasasa ni bora UOE Mwanamke akiwa na ujauzito manake unawza uziwa mbuzi kwenye gunia ndugu yangu. Wanawake wa kizazi hiki wamezidi kutoa mimba mwishowe wanashindwa kupata Ujauzito kwa kuchezea vizazi vyao mwisho mimba inadunda kwenye ukuta inarudi unategemea nini sasa hapo?
Kizazi ukikitibua sana kwa kutoa mimba kinalegea ndio maana kuna umuhimu wa kuoa demu ambaye umeshamzalisha au akiwa ana Ujauzito ili kukwepa matatizo ya masister du wa kileo.
Ila hata wanaume nao siku hizi kiwango kimeshuka hivyo na kinadada nao wana advantage maana wanajua mwanaume alienae yupo safi (nadhani tusi-judge kwa upande mmoja maana hili tatizo pia lipo kwa wanaume pia hivyo hata mwanamke nae atakuwa hajauziwa mbuzi kwenye gunia)