Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kumdhalilisha yule mwanamche ,wewe hapo umefanya nini hapo kwa mkuu wa mkoa?Mke mwenyewe anayetambia kashindwa kumtia mimba hadi wachina wamemsaidia kwa kumkamua mbegu na kwenda kuzirutubisha kwenye maabara ndiyo maana Keagan ana macho kama mfilipino. Huyu mshamba dawa yake wataalamu wote mkoani Arusha wasusie kwenye hiyo mikutano yake.
Nimegundua, sisi Watanzania tuna nidhamu ya woga sana! Hivi akikudhalilishaNimefanikiwa kuona clip ya mkutano wa Makonda katika Wilaya ya Longido kwenye Shule ya Wasichana wa Mama Samia. Kwanza nimpongeze Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo kwa taarifa nzuri na matumizi mazuri ya fedha katika ujenzi wa shule hiyo. Staili ya Makonda katika ziara yake inatakiwa kukemewa. Kwanza, mtalaam anapoeleza mradi au suala linaloulizwa anatakiwa akae kimya mpaka mwisho wa maelezo ya suala husika. Kila mtalaam akiendelea kueleza yeye anaingilia kati kwa maswali yasiyokuwa na tija. Pili, udhalilishaji anoufanya kwa Wataalam unatakiwa kukemewa. Ziara zake nyingi anawadhalilisha watalaam mfano Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha, Meneja wa TARURA Mkoa wa Arusha na yule Dada aliyekuwa anatoa maelezo mazuri na kumueleza kuwa ana mke mzuri kuliko yeye. Hivi ni vitendo vinavyodhalilisha sana. Mpe nafasi mtalaam aeleze mpaka mwisho ndo uanze kumuuliza maswali na siyo kila mara kuingilia kati katika maelezo yake. Anayeteua tunakupa angalizo hili.
Namlipa sawa sawa na matendo yake.Kama ni kumdhalilisha yule mwanamche ,wewe hapo umefanya nini hapo kwa mkuu wa mkoa?
Unawaita vilaza kwa vile wewe huna ajira unawaonea wivu! Yaani Injinia wa TARURA unamsemaje ni kilaza?Hao vilaza unawaita wataalamu?acha masihara.
Siyo Pro Chadema tu hata wanaccm wenye akili timamu hawapendezwi na staili hii ya kishenzi ndiyo maana aliondolewa uenezi.Wakati mwingine Pro chadema muwe mnatumia akili.mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa .kwa anakuwa na data zote kilichofanyika,na kinachoendelea na kitakachoendelea.
Majambazi, mafisadi, matapeli na mala rushwa mna umoja sana kenge nyie.
Makonda chapakazi
Kwa hio unahisi hizo mbegu zilikuwa za kifilipinoMke mwenyewe anayetambia kashindwa kumtia mimba hadi wachina wamemsaidia kwa kumkamua mbegu na kwenda kuzirutubisha kwenye maabara ndiyo maana Keagan ana macho kama mfilipino. Huyu mshamba dawa yake wataalamu wote mkoani Arusha wasusie kwenye hiyo mikutano yake.
NdiyoKwa hio unahisi hizo mbegu zilikuwa za kifilipino
Hawa ndio wachelewesha maendeleo.
Ni waoga tokana na maovu wanayofanya wanapoona kiongozi ana msimamo wanaanza majungu kutetea wezi wenzao kwa sababu wanajua na wao ni hawana tofauti.
Hii nchi usisikilize fisi wala kenge, lala nao mbele kwa mbele wakikuua na sumu aje mwingine analala nao mbele kwa mbele hadi ushenzi utokomee.
Ukiogopa hawa washenzi hufiki popote, ni kujilipua tu kutetea haki.
Ni vilaza tu.kwa miundombinu ya barabara za Arusha zilivyo za hovyo .Mimi sihitaji ajira na kama unataka nikuajiri leta cv yako niitathimini kama itanifaa nikuajiriUnawaita vilaza kwa vile wewe huna ajira unawaonea wivu! Yaani Injinia wa TARURA unamsemaje ni kilaza?
Yule mtaalamu alijieleza vizuri ila basi tu Makonda hakumpenda. Kumwambia mwanamke Kama yale sio utu. Tukubali kiongozi anapokosea.Wakati mwingine Pro chadema muwe mnatumia akili.mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa .kwa anakuwa na data zote kilichofanyika,na kinachoendelea na kitakachoendelea.
Tuongee ukweli. Alichofanya Makonda Jana sio sahihi. Angeweza kumwambia aongeze sauti sio kwa kauli ile ya kudhalilisha.Mpaka Makonda anatoka madarakani mtakuwa mmeishachanganyikiwa.
Anapokosea mumuonye hata Kama anafanya mazuri.Makonda yupo sahihi, watumishi kama ninyi wa michongo lazima kiwaingie vizuri.
Kwanini msiwakamate?. Kumdhalilisha mtu kisa ni mtumishi wa umma sio sahihi. Kama amekosea mkamateni mumpeleke mahakamani au msimamisheni kazi. Lakini kuanza kuingilia uzuiri na ubaya wa mtumishi sio sahihi.Nakazia, watumishi wengi ujanja ujanja na wizi wa mali za umma.
Ndio wengine wapo hapa vyeti feki na wanaishi kwa kuiba hivyo habari kama hizo huwa zinawatia pressure.
Makonda aendelee kupiga pale pale.
Usipende kufurahia wengine kutumia maana bado unaishi.Aendelee kupiga panapouma muongee na kichina.
Kwan Makonda alisemaz Mke wake ni mzuri kuliko yule dada??.Nasema kweli ndg, zangu. MAKONDA HANA ADABU. Wewe chukulia yule dada anaye mumewe palepale (tuseme mimi ni mume wa yule dada mzuri ndo maana nimemuoa). Halafu anakuja mpuuzi mmoja ati anasema kuwa mke wake mzuri kulilo mke wangu!!!. Pumbaaavu kabisa. TUHESHIMIANE.
Makonda ni mwendawazimuNimefanikiwa kuona clip ya mkutano wa Makonda katika Wilaya ya Longido kwenye Shule ya Wasichana wa Mama Samia. Kwanza nimpongeze Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo kwa taarifa nzuri na matumizi mazuri ya fedha katika ujenzi wa shule hiyo. Staili ya Makonda katika ziara yake inatakiwa kukemewa. Kwanza, mtalaam anapoeleza mradi au suala linaloulizwa anatakiwa akae kimya mpaka mwisho wa maelezo ya suala husika. Kila mtalaam akiendelea kueleza yeye anaingilia kati kwa maswali yasiyokuwa na tija. Pili, udhalilishaji anoufanya kwa Wataalam unatakiwa kukemewa. Ziara zake nyingi anawadhalilisha watalaam mfano Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha, Meneja wa TARURA Mkoa wa Arusha na yule Dada aliyekuwa anatoa maelezo mazuri na kumueleza kuwa ana mke mzuri kuliko yeye. Hivi ni vitendo vinavyodhalilisha sana. Mpe nafasi mtalaam aeleze mpaka mwisho ndo uanze kumuuliza maswali na siyo kila mara kuingilia kati katika maelezo yake. Anayeteua tunakupa angalizo hili.
Yupo pale sababu ya ushirikina pekeeYule ni kichaa, elimu yake ya kuungaunga inamuumbua sana