stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Wewe kwa akili yako unaona hilo neno ni zuri? Hilo si ni tusi zito kabisa. Jiongeze brother.Kwan Makonda alisemaz Mke wake ni mzuri kuliko yule dada??.
Alisema Maneno hayo au unamlisha??.
Alichosema.... ..... Halafu Nina Mke ......na ni mzuri.....
Wewe ni kajinga, huko shule mnakoenda Kusoma, Huwa mnasomea ujinga??.