Staili ya Makonda katika ziara yake inatakiwa kukemewa

Kama ni kumdhalilisha yule mwanamche ,wewe hapo umefanya nini hapo kwa mkuu wa mkoa?
 
Nimegundua, sisi Watanzania tuna nidhamu ya woga sana! Hivi akikudhalilisha
hivyo ukagoma kutoa maelezo inakuwaje? Huu ujinga kwangu sitaupa nafasi hata siku moja! Wataalam nao wajiamini bwana akikudhalilisha mnabishana naye yeye siyo Mungu kwamba utakufa
 
Wakati mwingine Pro chadema muwe mnatumia akili.mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa .kwa anakuwa na data zote kilichofanyika,na kinachoendelea na kitakachoendelea.
Siyo Pro Chadema tu hata wanaccm wenye akili timamu hawapendezwi na staili hii ya kishenzi ndiyo maana aliondolewa uenezi.
 
Halafu jambo la kushangaza mbona yule jamaa mwenye kampuni ya Tours na mwenyekiti alikuwa anamsikiliza karibu saa nzima kama baba yake bila kuingilia hata mara moja mpaka wakati mwingine akaona anaemwelezea hajui kitu mradi katega kichwa tu
Yule mdada pamoja na kufokewa ila mwisho alipumua na kuanza kumwaga fact mpaka akijiona bogus jamaa

Viongozi wengine wanajiona kila kitu wanajua
 
Kwa hio unahisi hizo mbegu zilikuwa za kifilipino
 

Nchi inahitaji viongozi wenye weledi, hekima, maono, na misimamo thabiti. Bahati mbaya Makonda hana sifa hata moja kati ya hizo. Ndiyo maana hata wakati waawamu ya 5 ali-opt kuwa kiongozi wa kundi la wauaji na wapotezaji watu. To hell hooligan Makonda and the likes.
 
Unawaita vilaza kwa vile wewe huna ajira unawaonea wivu! Yaani Injinia wa TARURA unamsemaje ni kilaza?
Ni vilaza tu.kwa miundombinu ya barabara za Arusha zilivyo za hovyo .Mimi sihitaji ajira na kama unataka nikuajiri leta cv yako niitathimini kama itanifaa nikuajiri
 
Wakati mwingine Pro chadema muwe mnatumia akili.mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa usalama wa mkoa .kwa anakuwa na data zote kilichofanyika,na kinachoendelea na kitakachoendelea.
Yule mtaalamu alijieleza vizuri ila basi tu Makonda hakumpenda. Kumwambia mwanamke Kama yale sio utu. Tukubali kiongozi anapokosea.
 
Nakazia, watumishi wengi ujanja ujanja na wizi wa mali za umma.

Ndio wengine wapo hapa vyeti feki na wanaishi kwa kuiba hivyo habari kama hizo huwa zinawatia pressure.

Makonda aendelee kupiga pale pale.
Kwanini msiwakamate?. Kumdhalilisha mtu kisa ni mtumishi wa umma sio sahihi. Kama amekosea mkamateni mumpeleke mahakamani au msimamisheni kazi. Lakini kuanza kuingilia uzuiri na ubaya wa mtumishi sio sahihi.
 
Kwan Makonda alisemaz Mke wake ni mzuri kuliko yule dada??.

Alisema Maneno hayo au unamlisha??.


Alichosema.... ..... Halafu Nina Mke ......na ni mzuri.....




Wewe ni kajinga, huko shule mnakoenda Kusoma, Huwa mnasomea ujinga??.
 
Makonda ni mwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…