S stonecutter JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 1,724 Reaction score 2,584 May 26, 2024 #61 Carlos The Jackal said: Kwan Makonda alisemaz Mke wake ni mzuri kuliko yule dada??. Alisema Maneno hayo au unamlisha??. Alichosema.... ..... Halafu Nina Mke ......na ni mzuri..... Wewe ni kajinga, huko shule mnakoenda Kusoma, Huwa mnasomea ujinga??. Click to expand... Wewe kwa akili yako unaona hilo neno ni zuri? Hilo si ni tusi zito kabisa. Jiongeze brother.
Carlos The Jackal said: Kwan Makonda alisemaz Mke wake ni mzuri kuliko yule dada??. Alisema Maneno hayo au unamlisha??. Alichosema.... ..... Halafu Nina Mke ......na ni mzuri..... Wewe ni kajinga, huko shule mnakoenda Kusoma, Huwa mnasomea ujinga??. Click to expand... Wewe kwa akili yako unaona hilo neno ni zuri? Hilo si ni tusi zito kabisa. Jiongeze brother.