Stamina anaimba hisia za kujeruhiwa kwa mapenzi kwa hisia kali sana

Kinachomponza ufupi na maneno mengi πŸ˜€!!!

Akiacha hizo tabia atapata mwanamke wa kudumu nae.
Either way, jamaa huwa anaimba mambo ambayo yana reflect uhalisia wa mahusiano mengi yalivyo siku hizi.

Uaminifu ulishazikwa. Kaburi limeota majani tukapalilie tufanye mpango wa kulijengea.
 
Either way, jamaa huwa anaimba mambo ambayo yana reflect uhalisia wa mahusiano mengi yalivyo siku hizi.

Uaminifu ulishazikwa. Kaburi limeota majani tukapalilie tufanye mpango wa kulijengea.
Kama yote anayoyaimba yanareflect mapito yake. Basi naye hana budi kujichunguza..

WHY ALWAYS HIM!???🀣🀣🀣
 
Kabisa..
Lakini si nasikia saivi yuko settled! Au kimewaka tena..

Niliona clip moja anasema kwamba baada ya kuachana n Mkewe akapata Msichana mwingine Tegeta ndiyo aliyekuwa anampa support akabahatika kupata naye mtoto ,ila kwasasa washaachana na huyo msichana.

Nadhani kwenye mapenzi jamaa atakuwa ana shida zake ambazo zinashindwa kuvumilika in long run.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…