Stamina anaimba hisia za kujeruhiwa kwa mapenzi kwa hisia kali sana

Stamina anaimba hisia za kujeruhiwa kwa mapenzi kwa hisia kali sana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yan wanaume wafupi nyie wana changamoto nyingiiii
Rafiki yangu ni mfupi nae Yuko hivihivi nikikutana nae hana stori zaidi ya kuongelea demu alie achana nae zaidi ya miezi mitano iliyopita, juzi alivyoanza hiyo mada nikamwambia subiri nakuja nikamuacha mwenyewe na ujinga wake kanipigia simu wee akanisubiri hadi akaondoka
 
Ina maana we hujasikiliza wimbo?
Umeleta uzi bila kunote lyrics mbili tatu πŸ˜‚πŸ˜‚

Mchat nahisi ni aka ya danga
Niliwasikia ICU kina Kwisa na Juma
Ameimba mambo mengi mnoo ktk dk chache...
Ngoja nami nikazingatie..🀣🀣🀣
 
Ni mke yupi anayemreffer hapa... Mana alioa tena karibuni!??
Mtu ukimtandika makofi kesho akaongelea jinsi ulivyo mtandika makofi alafu baada ya wiki mbili akaongelea tena habari hiyohiyo wakati hujamkata makofi siku za karibuni ujue anaongelea makofi yaleyale uliyomtandika wiki mbili zilizopita
 
Mtu ukimtandika makofi kesho akaongelea jinsi ulivyo mtandika makofi alafu baada ya wiki mbili akaongelea tena habari hiyohiyo wakati hujamkata makofi siku za karibuni ujue anaongelea makofi yaleyale uliyomtandika wiki mbili zilizopita
Lakini nasikia alioa tena karibuni..
Labda kama kaamua tu endeleza stori zilizopita..
 
Haha
Watoto hawali sex..

Alooooo
Sex.. muhimu.. kodi ya meza muhimu

Mtaka mawili siku zote moja humponyoka ,kusuka kunyoa vyote unataka -Chagua moja.

Sasa ushajua hakuridhishi kitandani sasa kwanini uwe naye? Si uende kwa anayekuridisha? Hapo ndipo wanawake wanapokosea ,chagua mtu sahihi kisha kaa naye sio unakaa na mtu then bado unataka kufanya ushenzi ni bora umuache uende kwa huyo mshenzi mkafanye naye ushenzi.

Kwa mujibu wa Stamina yule demu bado alikuwa anazagamuana na mchezaji wa simba kwahiyo aliielewa show ya mchezaji kuliko ya stamina ,sasa kitu gani kilimfanya aolewe na stamina whie anatembea namchezaji?
 
Mhh
Disrespect gani kubwa anafanyiwa?
Probably ni kimoko chali

Ndiyo maana nimekwambia ukimsikiliza stamina kwenye nyimbo zake utagundua kitu.

Mkewe alikuwa anazagamuana na mchezaji wa simba wakati kashaolewa ,inamaanisha mwanamke alikuwa anaelewa show za mchezaji kuliko za stamina, sasa ilikuwaje asiolewe na huyo mchezaji akaenda kwa stamina? Maana Stamina anasema alikuwa anakutana naye mchumba wake weekend na kuzagamuana then ndiyo wakaja kufunga ndoa, ina maana demu alishaonja mashine ya stamina na mchezaji then akaamua aolewe ila kumbe moyoni mwake alianini kwamba anaolewa ila kama kawaida anaendeleza libeneke na mchezaji.

Kwa maelezo ya stamina demu alikuwa hana heshima kabisa kwa mmewe(stamina) na ndivyo ilivyo demu akishaanza kucheat hawezi kuwa na heshima kwa mmewe ,mwanamke anayemuheshimu mmewe hawezi kwenda nje.
 
Wanaume wafupi wanene
Wengi wao ni waongo, wana gubu, wambea

Yan heri awe mfupi na asiwe mnene

Stamina aliingia choo cha kike kuoa malaya....Stamina ana screenshots ,voicenote na video zenye ushahidi kwamba mkewe alikuwa malaya ,anagongwa nje na mchezaji wa simba.

Hakuna mwanamme chini ya jua atakayevumilia huo ushenzi.

Ndiyo maana vijana wa KATAA NDOA wana point ikija issue kama hizi....Demu ameolewa lakini bado anakitembeza nje.
 
Back
Top Bottom