Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Zitakuwa zipi hizo?Niliona clip moja anasema kwamba baada ya kuachana n Mkewe akapata Msichana mwingine Tegeta ndiyo aliyekuwa anampa support akabahatika kupata naye mtoto ,ila kwasasa washaachana na huyo msichana.
Nadhani kwenye mapenzi jamaa atakuwa ana shida zake ambazo zinashindwa kuvumilika in long run.