Zitakuwa zipi hizo?Niliona clip moja anasema kwamba baada ya kuachana n Mkewe akapata Msichana mwingine Tegeta ndiyo aliyekuwa anampa support akabahatika kupata naye mtoto ,ila kwasasa washaachana na huyo msichana.
Nadhani kwenye mapenzi jamaa atakuwa ana shida zake ambazo zinashindwa kuvumilika in long run.
Ngoma imekuja wakati muafaka ambao waume wanagongewa sana wake zaoYeah itakuwa hit
Msanii ana namna mbali mbali za kufikisha ujumbe anaokusudia. Yaweza kuwa anatumia "personification" (kujivisha yeye uhalisia wa mambo) lakini in reality sio kuwa yeye ndio yamemtokea.Kama yote anayoyaimba yanareflect mapito yake. Basi naye hana budi kujichunguza..
WHY ALWAYS HIM!???π€£π€£π€£
Kataa ndoa ndio kauli thabitiInawezekana huyu msanii ana bahati mbaya sana katika upande huu wa mahusiano. Ni kweli au kazi tu!?
Tizama wimbo huu mkali kabisa..
View attachment 2536704
Bushoke nae karejea vizuri kabisa.
NDOA NI UTAPELIKataa ndoa ndio kauli thabiti
Ina maana we hujasikiliza wimbo?Hii ni line ktk huo wimbo!?
Jimbo baaayaaa
ππππ yan wanaume wafupi nyie wana changamoto nyingiiiiHawa wanaume wenzetu wafupi huwa wana matatizo sana kuna chalii yangu mfupi nae kazi kujilizaliza kisa mapenzi wanateseka na demu mmoja kichizi yani
Sasa huyu mwamba kashaachana na mke wake ila kila siku anaimba nyimbo zenye maudhui yaleyale ya kusalitiwa
Udhaifu huo
Ni mke yupi anayemreffer hapa... Mana alioa tena karibuni!??Hawa wanaume wenzetu wafupi huwa wana matatizo sana kuna chalii yangu mfupi nae kazi kujilizaliza kisa mapenzi wanateseka na demu mmoja kichizi yani
Sasa huyu mwamba kashaachana na mke wake ila kila siku anaimba nyimbo zenye maudhui yaleyale ya kusalitiwa
Udhaifu huo