Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

Stan Katabalo: Tunauhitaji mzimu wako wa habari za Uchunguzi!

Ana Elimu ya hapa na pale.
Screenshot_20250105_100444_Edge.jpg
 
Wewe ni mwandishi chawa mbobevu
Kuna kitu kinaitwa the realty vs perception, reality ni jinsi mtu ulivyo kiukweli, na perception ni jinsi jamii inavyokuchukulia kwa kuku perceive kutokana na maandiko yako.

In reality mimi sio chawa!, ila naandikia simple minds, wanao discuss people, ordinary minds wanao discuss events na great minds wanao discuss ideals, ma simple minds ndio wananiona chawa, ila ma GT, wananielewa vizuri tuu!.
Mfano mzuri ni bandiko hili la kumpongeza Rais Samia kwa miaka miwili madarakani Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!
Simple mind wataona pongezi wataniita chawa.
Ordinary mind wao wataona matukio Samia kafanya nini miaka miwili yake, na great minds wataangalia ni nini hilo linalowezekana leo ambalo halitakiwi kugonja kesho!.
Hivyo kuniita chawa mbobevu shega tuu!
P
 
Back
Top Bottom