Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa
Pascal Mayalla kujitwalia tuzo ya Nobel endapo ungejikita kwenye uandishi wa habari za uchunguzi. Najua hii kazi umesomea, una weledi nayo na iko ndani ya uwezo wako. Sijui unakwama wapi
Pascal Mayalla ??
Labda nikusaidie mambo ya kuyachungiuza na kuja na stori kamili.
1. Akina nani walimuua Chacha Wangwe?
2. Akina nani walimuua Alphonce Mawazo.
3. Kwann serikali ya ccm haitaki kuchunguza tukio la Lisu kupigwa risasi?
4. Kwann Makonda anazidi kupewa vyeo na serikali ya ccm ili hali watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua kuwa ni mtoa roho za watu? USA waliosema anadhulumu watu haki ya kuishi.
5. Nani wamiliki wa DP World?
6. Uko wapi ukoo wa babake rais Samia? Baba wadogo, mashangazi, n.k. Au tuamini tunayoyasikia?