Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kubenea sio msomi?Kubenea ni kweli hawezi vaa viatu vya Stan Katabalo. Stan alikuwa msomi na mwenye misimamo hasa. Kubenea ni mbabaishaji tu.
Ana Elimu ya hapa na pale.Kubenea sio msomi?
Ana Elimu ya hapa na pale.
Kuna kitu kinaitwa the realty vs perception, reality ni jinsi mtu ulivyo kiukweli, na perception ni jinsi jamii inavyokuchukulia kwa kuku perceive kutokana na maandiko yako.Wewe ni mwandishi chawa mbobevu