Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] yule awe mshereheshaji[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mc pilipili mjanja mjanja sana
Mh...Brother k hujamuweka lakini jamaa anaweza sana alafu joti pia naye yumo kwa sababu jamaa anacheza part zote iwe mwanafunzi binti babu nk
No thanx ni muigizaji mwenye utani mwingiMajuto ni the best
Wengi hawaelewi hiz tofaut lakin nadhani wanajifunza hapa leoMzee majuto hajawhi fanya stand up comedy
Kuna tofauti ya stand up comedy na film comedy mkuu
Haha kuna wale awanaizurura na masinzi ya mkaa usoni wanaweka matambara makalionibongo hakuna comedian naona wote kama wanafanya kienyeji sana hebu chukueni time yenu muangalie kile wanafanya wale wakenya kwenye CHURCHILL SHOW ndo mtajua kuwa wabongo wanafanya ili mradi mkono uende kinywani,wale vijana wa churchill wako vizuri mpka unapenda na kwetu itokee vile lakini wala hawa wetu hawana habari kabisa tena siku hizi wana magari ndo basi washamaliza kila kitu