Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

Mpoki pekee ndio anaweza vaa suti na kuwachekesha watu..
 
Mpoki na apo kene list mbona mzee majuto hujamuweka
 
Mpoki ana uwezo ila wengine wote hawana uwezo...Kenya wana hazina kubwa sana.. kuna prof Hamo na wengine
 
Hakuna hata mmoja hapo. ....bado wanadhani comedy lazima ukunje sura au uvae wigi. ....bado hawajaijua maana ya standup comedy. ....We have a long way to go hao uliowataja ni kama nyau na ndimbe tu
 
Mc pilipili anatumia nguvu nyingi kuji promote ilhali hamna kitu kikubwa alichonacho bongo media zikiamua kukuweka juu utafurahi sasa uwe na kipaji kama huna ndio unakuwa kama mc pilipili kulazimisha watu wakutunze hela
 
Hivi Bongo tuna kipindi kama cha Churchill Show?
 
bongo hakuna comedian naona wote kama wanafanya kienyeji sana hebu chukueni time yenu muangalie kile wanafanya wale wakenya kwenye CHURCHILL SHOW ndo mtajua kuwa wabongo wanafanya ili mradi mkono uende kinywani,wale vijana wa churchill wako vizuri mpka unapenda na kwetu itokee vile lakini wala hawa wetu hawana habari kabisa tena siku hizi wana magari ndo basi washamaliza kila kitu
 
Haha kuna wale awanaizurura na masinzi ya mkaa usoni wanaweka matambara makalioni
 
Back
Top Bottom