Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kabisa mkuu.Tatizo la mtanzania aki ambiwa kitu kwa upole na ustaarabu hatekelezi.hahah kwa hiyo tutawaliwe tena kwanza ili akili zitukae sawa?
Watanzania ni wagumu na tunapenda sana kusukumwa kwa nguvu kubwa ndio tufanye jamboKabisa mkuu.Tatizo la mtanzania aki ambiwa kitu kwa upole na ustaarabu hatekelezi.
Ikitumika nguvu na sheria wana anza kulalamika na kubisha kwamba Serikali ina waonea.
Utakuta mtanzania yeye ndio ana makosa ila anakuwa mbishi kupindukia kwa kigezo eti "Ana nyanyaswa" ...
Ujinga na wajinga wakisha kuwa wengi kwenye jamii kila kitu kwao itakuwa ni kubisha na kulalamika wana onewa hata kama wao wana makosa..
Awamu ya 6 walikuja na mwarobaini wa kumaliza Chingas na wavamia maeneo kwa kisingizio cha ulalahoi/unyonge, wakasema miji lazima iwe safi......2. Usimamizi duni wa serikali...
Kuna mvurugano pale balaaaPale mbezi sio biashara tu kule ndani stand kuna wachungaji kama wanne hivi kila mmoja anahubiri na ana spika yake
kuna zile ngazi za kushuka stand ya kwenda kinyerezi ikifika saa 11 huwezi kupita kabisa yaani wanapanga vitu kila mahali wanaziba na njiaKuna mvurugano pale balaaa
Awamu ya 6 walikuja na mwarobaini wa kumaliza Chingas na wavamia maeneo kwa kisingizio cha ulalahoi/unyonge, wakasema miji lazima iwe safi......
Nadhani mwarobaini ule, mizizi imemwagiwa chumvi
Kote, na kuna vispika kila biashara inatangazwa. Confusionkuna zile ngazi za kushuka stand ya kwenda kinyerezi ikifika saa 11 huwezi kupita kabisa yaani wanapanga vitu kila mahali wanaziba na njia
Mmh!!sidhani kama itafanikiwa hasa Wakati wa usikuNani ni msimamizi wa Stendi? awajibike
Hilo jj gumu sana kwa watu wa maisha ya chini aisee kutwa na wanatanga na njia masikini hapo sasa wanangoja kutimuliwaNi jambo la kusikitisha sana Stand ya daladala Mbezi luis kugeuzwa soko, hasa nyakati za Jioni kuanzia saa 12 Jion na kuendelea.
Tatizo ni uchumi mkuu. Dar-es-salaam watu wamejazana na kila mtu anaangalia fursa ilipo. Ustaarabu sifuri.Wabongo ni wabishi sana inabidi mjerumani arudi kutu tawala kwa Viboko.
Nadhani mjerumani ange tutawala walau mpaka 1980 hivi, Akili zetu zingekuwa zime staarabika.
Waafrika tulipewa uhuru mapema mno bila ya sisi wenyewe kujitambua na kujielewa.
Wana kibali cha kufanya hivyokuna zile ngazi za kushuka stand ya kwenda kinyerezi ikifika saa 11 huwezi kupita kabisa yaani wanapanga vitu kila mahali wanaziba na njia
nani aliwapaWana kibali cha kufanya hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa rangi 3 nahisi panakuwa na tamasha la fiesta muda wa jioni maana barabara zote zinajaa biashara na kila mmoja amefungulia spika yake inaitia biashara
Umenikumbusha wazee wa Tumba hilo tumba hilo tumba hiloππππKote, na kuna vispika kila biashara inatangazwa. Confusion
mezani elfu tatu juu maelewanoUmenikumbusha wazee wa Tumba hilo tumba hilo tumba hiloππππ