Stand ya daladala Mbezi Louis imegeuzwa soko?

Stand ya daladala Mbezi Louis imegeuzwa soko?

hahah kwa hiyo tutawaliwe tena kwanza ili akili zitukae sawa?
Kabisa mkuu.Tatizo la mtanzania aki ambiwa kitu kwa upole na ustaarabu hatekelezi.

Ikitumika nguvu na sheria wana anza kulalamika na kubisha kwamba Serikali ina waonea.

Utakuta mtanzania yeye ndio ana makosa ila anakuwa mbishi kupindukia kwa kigezo eti "Ana nyanyaswa" ...

Ujinga na wajinga wakisha kuwa wengi kwenye jamii kila kitu kwao itakuwa ni kubisha na kulalamika wana onewa hata kama wao wana makosa..
 
Watanzania ni wagumu na tunapenda sana kusukumwa kwa nguvu kubwa ndio tufanye jambo
 
Uchuuzi umachinga ndiyo ajira #1 bongo

Ova
 
Awamu ya 6 walikuja na mwarobaini wa kumaliza Chingas na wavamia maeneo kwa kisingizio cha ulalahoi/unyonge, wakasema miji lazima iwe safi......

Nadhani mwarobaini ule, mizizi imemwagiwa chumvi

Kila wakifikiria watakosa kura, huwa wanaufyata...
 
kuna zile ngazi za kushuka stand ya kwenda kinyerezi ikifika saa 11 huwezi kupita kabisa yaani wanapanga vitu kila mahali wanaziba na njia
Kote, na kuna vispika kila biashara inatangazwa. Confusion
 
jioni ndo muda wao wa kutamba,wakizinguliwa fujo kubwa zitazuka
 
Ni jambo la kusikitisha sana Stand ya daladala Mbezi luis kugeuzwa soko, hasa nyakati za Jioni kuanzia saa 12 Jion na kuendelea.
Hilo jj gumu sana kwa watu wa maisha ya chini aisee kutwa na wanatanga na njia masikini hapo sasa wanangoja kutimuliwa
 
Wabongo ni wabishi sana inabidi mjerumani arudi kutu tawala kwa Viboko.

Nadhani mjerumani ange tutawala walau mpaka 1980 hivi, Akili zetu zingekuwa zime staarabika.

Waafrika tulipewa uhuru mapema mno bila ya sisi wenyewe kujitambua na kujielewa.
Tatizo ni uchumi mkuu. Dar-es-salaam watu wamejazana na kila mtu anaangalia fursa ilipo. Ustaarabu sifuri.

Tuvumiliane tu wote sisi sote ni watanzania.
 
Hapa rangi 3 nahisi panakuwa na tamasha la fiesta muda wa jioni maana barabara zote zinajaa biashara na kila mmoja amefungulia spika yake inaitia biashara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ENEO LA SOKO LIPO PALE UBAVUNI MWA STAND MAGUFULI sijui kwanini serekali hawataki kupereka watu pale
 
Back
Top Bottom