Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kabisa mkuu.Tatizo la mtanzania aki ambiwa kitu kwa upole na ustaarabu hatekelezi.hahah kwa hiyo tutawaliwe tena kwanza ili akili zitukae sawa?
Ikitumika nguvu na sheria wana anza kulalamika na kubisha kwamba Serikali ina waonea.
Utakuta mtanzania yeye ndio ana makosa ila anakuwa mbishi kupindukia kwa kigezo eti "Ana nyanyaswa" ...
Ujinga na wajinga wakisha kuwa wengi kwenye jamii kila kitu kwao itakuwa ni kubisha na kulalamika wana onewa hata kama wao wana makosa..