Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona

Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona

Mkuu Pascal Mayalla kama utaona linapendeza, naomba uliulize na hili...

Ni kuhusu mashule na vyuo, je, kuna hatua gani zilizofikiwa hadi sasa ili kuhakikisha mfumo wetu wa elimu unaendelea kufanya kazi ''hata kama'' janga hili litaendelea kwa muda mrefu ? Yaani je, kuna njia yoyote ya kuendelea kupambana na COVID 19 wakati mambo mengine (elimu) yakiendelea ?
 
Muulize kuwa "kitendo cha kuzuia wanahabari kufuatilia na kutangaza habari za corona kuwa kinarudisha nyuma mapambano ya corona? "
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, kiukweli Dr. Abbas yuko vizuri, baada ya Dr, Waziri wa Habari, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe pia ataalikwa na kisha Naibu Waziri, Mhe. Juliana Shonza pia wataalikwa.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Abasi ameeleza vizuri. Na Pascal umeuliza vizuri.
Kasema kuna mgonjwa alicontact na watu na hawakuambukizwa. Hii ni subject kwa investigation. Why!
Kwa hivi wanaosema serilali inaficha ukweli wako wrong.
Pascal umesema huenda maisha harsh kwa walala hoi yamekuwa preventive kwa maambukizi which can a fact.
Suluhisho ni utafiti zaidi lakini kutokana na haya mazungumzo serikali iko sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Mayalla unataka kusema Kuna makabila (wasukuma) kwao mafua sio ugongwa ndio maana Magufuli akaenda kulala kwenye majabali sio?
 
Duh...!. Wakudadavua ni mkaka, tena ni mkubwa kwangu, ndio maana namuita Kaka Mkubwa Wakudadavua. Tena kwenye jibu langu kwa kwenye post ya Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, akimsifia Dr. Abbas, sio umeona nimemweza kuwa sitaishia kwa Dr. Abbas pekee, kuna siku tutamwalika Waziri wa Habari Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri, mwana jf mwenzetu, Mhe. Juliana Shonza.

P
"Kuna siku mtamualika"

Wewe ni muajiriwa Star Tv?!
au deiwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, kiukweli Dr. Abbas yuko vizuri, baada ya Dr, Waziri wa Habari, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe pia ataalikwa na kisha Naibu Waziri, Mhe. Juliana Shonza pia wataalikwa.
P
Kaka hapo kwa Shonza ni ataalikwa au ungesema tu utaalikwa?ha ha ha,kwan hapo si ilikuwa unamjibu wakudadavua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, kiukweli Dr. Abbas yuko vizuri, baada ya Dr, Waziri wa Habari, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe pia ataalikwa na kisha Naibu Waziri, Mhe. Juliana Shonza pia wataalikwa.
P
Yani mnaalika wanasiasa badala ya kualika wataamam wa afya watoe elimu ya korona? Only in tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi
Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu Wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona.

Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendo kutokea Mwanza, Dr. Hassan Abbas atazungumza kutokea Dodoma, na kwa upande wa Dar es Salaam, nitakuwepo mimi.

Kipindi hiki ni interactive, wana jf wenye hoja muhimu za kumuuliza Dr. Abbas, unaoweza kuuliza humu na mimi nikamuuliza.

Karibuni sana.
Paskali
Kwahiyo waandishi wa habari ndiyo wataalamu wa afya?

Namna ya kuripoti nini?

Igeni mashirika makubwa ya habari duniani yanafanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi
Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu Wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona.

Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendo kutokea Mwanza, Dr. Hassan Abbas atazungumza kutokea Dodoma, na kwa upande wa Dar es Salaam, nitakuwepo mimi.

Kipindi hiki ni interactive, wana jf wenye hoja muhimu za kumuuliza Dr. Abbas, unaoweza kuuliza humu na mimi nikamuuliza.

Karibuni sana.
Paskali
Paskali kwanini Tanzania hakuna mwakilishi wa CNN?Hii nafasi ilikuwa inakufaa sana wewe,fanya mpango uwasiliane nao uwe Mwakilishi wa CNN Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom