paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Muulize, Je, mtu akitaka kujikarantini yeye na familia yake, awe na vigezo gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, kiukweli Dr. Abbas yuko vizuri, baada ya Dr, Waziri wa Habari, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe pia ataalikwa na kisha Naibu Waziri, Mhe. Juliana Shonza pia wataalikwa.
P
Leo
Huyu jamaa ashukuru mfumo Wa vyama vingi unamfanya mkono uende kinywani kwa fani yake uandishi ingekuwa nchi ya chama kimoja huyu angeishia kuwa mpiga picha tu kwenye sherehe za ubatizo au kipaimaraNilikuwa simjui Pascal aisee
Aisee hebu dadavua kidogoHuyu jamaa ashukuru mfumo Wa vyama vingi unamfanya mkono uende kinywani kwa fani yake uandishi ingekuwa nchi ya chama kimoja huyu angeishia kuwa mpiga picha tu kwenye sherehe za ubatizo au kipaimara
"Kuna siku mtamualika"Duh...!. Wakudadavua ni mkaka, tena ni mkubwa kwangu, ndio maana namuita Kaka Mkubwa Wakudadavua. Tena kwenye jibu langu kwa kwenye post ya Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, akimsifia Dr. Abbas, sio umeona nimemweza kuwa sitaishia kwa Dr. Abbas pekee, kuna siku tutamwalika Waziri wa Habari Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri, mwana jf mwenzetu, Mhe. Juliana Shonza.
P
Kaka hapo kwa Shonza ni ataalikwa au ungesema tu utaalikwa?ha ha ha,kwan hapo si ilikuwa unamjibu wakudadavua?Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, kiukweli Dr. Abbas yuko vizuri, baada ya Dr, Waziri wa Habari, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe pia ataalikwa na kisha Naibu Waziri, Mhe. Juliana Shonza pia wataalikwa.
P
Je, ni hatua gani zimechukuliwa na serikali juu ya baadhi ya maafisa elimu kuwalazimisha walimu waripoti shuleni kila siku wakati serikali imezifunga shule zote ili kuzuia kutokusambaa kwa Corona?
Pascal Mayalla Tafadhali muulize Dr. Abbas kama COVID 19 ina ambukiza wanyama.
Yani mnaalika wanasiasa badala ya kualika wataamam wa afya watoe elimu ya korona? Only in tz.Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavuwa, kiukweli Dr. Abbas yuko vizuri, baada ya Dr, Waziri wa Habari, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe pia ataalikwa na kisha Naibu Waziri, Mhe. Juliana Shonza pia wataalikwa.
P
Kwahiyo waandishi wa habari ndiyo wataalamu wa afya?Wanabodi
Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu Wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona.
Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendo kutokea Mwanza, Dr. Hassan Abbas atazungumza kutokea Dodoma, na kwa upande wa Dar es Salaam, nitakuwepo mimi.
Kipindi hiki ni interactive, wana jf wenye hoja muhimu za kumuuliza Dr. Abbas, unaoweza kuuliza humu na mimi nikamuuliza.
Karibuni sana.
Paskali
Paskali kwanini Tanzania hakuna mwakilishi wa CNN?Hii nafasi ilikuwa inakufaa sana wewe,fanya mpango uwasiliane nao uwe Mwakilishi wa CNN TanzaniaWanabodi
Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu Wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona.
Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto Emmanuel Bulendo kutokea Mwanza, Dr. Hassan Abbas atazungumza kutokea Dodoma, na kwa upande wa Dar es Salaam, nitakuwepo mimi.
Kipindi hiki ni interactive, wana jf wenye hoja muhimu za kumuuliza Dr. Abbas, unaoweza kuuliza humu na mimi nikamuuliza.
Karibuni sana.
Paskali