chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza.
Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya mwisho, ishara ya wazi ya chuki kubwa waliyo nayo dhidi ya SSH.
Wahusika wanamtumia Alloyce Nyanda kama kiongozi wa mashambulizi dhidi ya awamu ya sita, na waandishi wote wa kituo hicho Wana maelekezo ya kualika watu wa kuitukana serikali kwa mfululizo.
Aloyce Nyanda ni mmoja ya waandishi waliofaidi fedha haramu za Sabaya, na mara kadhaa alitumiwa tiketi za ndege kwenda Arusha kufanya naye mahojiano, na akilipwa na Sabaya badala ya startv. Baada ya mahojiano, walikunywa pombe na kuzunguka na wanawake.
Hivi karibuni kituo hicho kilitumika kutakatisha mambo ya halmashauri ya wilaya ya ukerewe yaliyojaa uovu