Star Tv wameingia vitani dhidi ya awamu ya sita? Habari ya SSH kuzindua uingiaji maji Stiglers ilirushwa ya mwisho, Alloyce Nyanda atumika

Hili Bwawa kwani ni Juhudi / Umahili wa Awamu ya Sita pekee ?

Kwamba huko nyuma kulikuwa hakuna chochote ? au unamaanisha nini ?

Mbona tu wepesi wa kuchukua credit na kwenye lawama tunaruka kilomita za kutosha ?
 
Huna taarifa Aloyce Nyanda anaomba nauli kwa polepole ili aende Malawi akapate habari za udaku za kuitukana serikali kwa kuwa anajua polepole ni mropokaji?

Watani za Aloyce huwa wanamuita kamongo kwa kuzingatia fiziki yake
acheni waandishi watimize majukumu yao,,usilazimishe wote waripot blabla za anaupiga mwingi,,Tanzania sio nchi ya kondoo kiasi hicho
 
Aloyce Nyanda ni mmoja ya waandishi waliofaidi fedha haramu za Sabaya, na mara kadhaa alitumiwa tiketi za ndege kwenda Arusha kufanya naye mahojiano, na akilipwa na Sabaya badala ya startv. Baada ya mahojiano, walikunywa pombe na
Haya umeyaweka kwa Nia gani ?
Unachochea nni hapa ?
 
Nilitegemea utawapongeza startv kurusha mwisho hiyo taarifa maana imesaidia wengi ambao huwa tunachelewa dakika za mwanzo za taarifa kujua kilichojili hii leo
 
Wewe bwege anzisha kituo chako! Naona mna chuki sana na watu wa kanda ya ziwa! Mbona Dira ya dunia ilizungumzia sana hata Star tv taarifa yao ya habari ilirusha pia!
Kwenye urushaji wa habari waliona wasianze na hiyo maana vituo vyote vingeweza kuanza nayo!
Pia ujue habari sio hiyo tu uwe unatumia akili!
 
Kwani ina umuhimu gani kuzindua kitu n
Ambacho hakijakamilika
 
sasa hapo kosa liko wapi ndugu mwandishi! uhuru wa habari utakuwa na maana gani kama tunataka habari gani iwe yangapi kurushwa kama unavyotaka?
Halafu pia unatakiwa kujua kuwa kutoiunga mkono serikali sio kosa wala uhaini kwa mujibu wa sheria za nchi yetu. Mtu unatskiwa kuwa mzalendo kwa nchi na sio serikali kwani serikali huwa zinakuja na kuondoka lkn nchihatuna nyingine na itabaki hapo milele.
Sasa basi kwa hicho ulichoandika kimejaa sana hisi kuliko uhalisi na inaonekan kama una tatizo na hicho chombo cha habari .
 
Ingekuwa habari kubwa kama Mheshimiwa RAIS angekua ameenda ku-switch on kitufe cha kuwasha umeme...sasa kuingiza maji Bwawani au cranes kufika site ni muhimu sana!?...hatua iliyofanyika Haina tofauti na kwenda Kuzindua Trip ya kwanza ya Lori la kokoto au cement kuingia site...kama nilivyowahi kusema hapa... Handlers wanamchosha Mkuu wa Nchi(kama PM apendavyo kumwita)...hiyo Kazi angefanya tuu katibu Mkuu wa wizara au Engineer husika...it was a total waste of time and resources.... Utaratibu wa site uwa ni to keep all the stages as a secret na mwisho limradi limekamilika na inakuwepo Grand opening na surprise kwa majority...sasa limradi lenyewe mnasema lilikua under jeopardy due to sabotage kutoka kila angle, alafu kila kukicha mnatangaza progress ndogo ndogo..kwa kufanya hivyo hawaoni kwamba unakaribisha au unawaprovoke wahujumu wapange mbinu zaidi za ku-sabotage!?....
 
Ndiyo shida ya kutanguliza chama kuliko maendeleo ya nchi.
Ulitaka iwe habari ya kwanza km nani?
 
Usinipangie, kama kituo kinapingana na maslahi ya taifa, tunakianika
Raisi anabonyeza kitufe cha kujaza maji kwenye bwawa? Nayo hii ni habari? Ilitakiwa isirushwe kabisa halafu ni upotevu wa fedha.
Ungesema raisi anabonyeza kitufe cha kuwasha umeme. Miaka 50+ tunahangaika na vitu vidogo vidogo tu.
 
Kwahiyo wakimkimbia wewe inakuhusu nini?.
 
Kwani wakimkimbia wewe inakuhusu nini?.
 
Ndio umshukuru Magu, otherwise usinge lialia kutaka huomradi mkubwa wenye maslahi ya taifa kupewa kipaumbele kwenye taarifa ya habari.
 
Empty set
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…